20/06/2025
Jamii bora inajengwa kwa nguvu ya ziada. Nayo ni thamani ambayo hatuna budi kuilipa.
Usajili wa wanafunzi Elimu ya Awali hadi Darasa la Kwanza unaendelea. Karibu ujiunge nasi na kuwa mshirika wetu katika Elimu na Malezi ya Kiislamu.
,LeadingTomorrow,InspiredForever
13/06/2025
Welcome at Ibaadu-rrahmaan Islamic School
13/06/2025
Karibu Ibaadu-rrahmaan Islamic School.
Karibu Uwe Mshirika Wetu Katika Elimu Na Malezi.
12/06/2025
TikTok · ibaadurrahmaanislamicschool
Check out ibaadurrahmaanislamicschool’s post.
07/06/2025
Eid Mubarak
Welcome at Ibaadu-rrahmaan Islamic School, Buza Changuru.
26/12/2024
Anza nasi safari ya Furaha, Makuzi na Ugunduzi.
Jiunge Ibaadu-rrahmaan Islamic School Kwa mwaka mpya wa masomo 2025.
Nafasi zilizopo ni:
Baby Class Umri 1.5 - 2.5 - Ada 500,000/=
Kindergarten Umri 3 - 5 - 580,000/=
Primary - Darasa la Kwanza na la Pili. - Ada 800,000/=
Shule ipo
Buza - Mji Mpya ( Njia ya Kuelekea Mbagala/Mwanagati)
Fomu zinapatikana shuleni. Au kwa *Imamu Masjid Lillaah*
Kwa mawasiliano:
Piga au tuma ujumbe WhatsApp:
+255 765 858 404
Kesho ya Kijana wako, ipo kwenye mikono salama.
.*