25/04/2025
JE, UNAMILIKI CHUO CHA UFUNDI?
FundiLink Network Hub ni jukwaa la kuunganisha taasisi za ufundi na wanafunzi wapya kutoka kila pembe ya Tanzania.
Tunasaidia taasisi k**a yako kufikia walengwa kwa haraka kupitia mikakati ya kisasa ya kidigitali na uwakala wa kitaalamu.
Tunaendeshwa na maono ya kweli: Tuunganishe ujuzi na fursa.
Jiunge na mtandao wetu—tuanze ushirikiano wenye tija!
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
📞 0775 559 164 | [email protected]
25/04/2025
JE, UNAMILIKI CHUO CHA UFUNDI?
FundiLink Network Hub ni jukwaa la kuunganisha taasisi za ufundi na wanafunzi wapya kutoka kila pembe ya Tanzania.
Tunasaidia taasisi k**a yako kufikia walengwa kwa haraka kupitia mikakati ya kisasa ya kidigitali na uwakala wa kitaalamu.
Tunaendeshwa na maono ya kweli: Tuunganishe ujuzi na fursa.
Jiunge na mtandao wetu—tuanze ushirikiano wenye tija!
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi:
📞 0775 559 164 | [email protected]
WHATSAPP GROUP: https://chat.whatsapp.com/LsG8Z9tkc7s3JOQBOqSWw5
22/04/2025
Je, Unatafuta chuo cha ufundi stadi kwa ajili yako au kijana wako?
FundiLink Network Hub Tanzania inakupa mwongozo wa kitaalamu wa kujiunga na vyuo bora vya ufundi vilivyosajiliwa—kwa kozi fupi (short course) na kozi ndefu (long course), kulingana na chaguo lako.
Kozi Zinazopatikana ni pamoja na:
Electrical Installation
Motor Vehicle Mechanics
Plumbing and Pipe Fitting
Welding and Metal Fabrication
Cosmetology and Hairdressing
Audio & Video Production
Masonry and Brick Laying
Autoelectrical
Hotel Management
Na zingine nyingi!
Vyuo vinapatikana katika mikoa ya:
Dar es Salaam, Pwani, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Tanga, Mbeya, Iringa
Huduma Yetu:
Tunakushauri bure
Tunakuunganisha na chuo sahihi
Unapewa mwongozo hadi unaporipoti chuoni
Tuma ujumbe sasa kupitia WhatsApp:
0775 559 164
AU GUSA KIUNGO HAPO CHINI
21/04/2025
JE, UNATAFUTA CHUO CHA UFUNDI?
FundiLink Network Hub Tanzania tunakuletea fursa ya kusoma kozi za ufundi katika vyuo vinavyotambulika na serikali na kwa ubora!
Kozi zinapatikana k**a Short Course au Long Course—wewe chagua inayokufaa!
Kozi tunazoratibu kwa sasa ni pamoja na:
1.ICT and Computer Application
2.Electrical Installation
3.Motor Vehicle Mechanics
4.Secretarial and Office Management
5.Driving
6.Graphics Design and Printing
7.Tailoring and Fashion Design
8.Plumbing and Pipe Fitting
9.Welding and Metal Fabrication
10.Autoelectrical
11.Audio and Video Production
12.Hotelia (Hotel Management)
13.Cosmetology and Hairdressing
14.Masonry and Brick Laying
15.Mabomba (Plumbing)
16.Qualifying Test (QT) for Secondary Education
17.Reseaters (Form Four Examination Preparation)
Vyuo vinapatikana katika mikoa ifuatayo:
Dar es Salaam | Pwani | Dodoma | Mwanza | Shinyanga | Tanga | Mbeya | Iringa
Wamiliki wa vyuo vya ufundi mikoani, tafadhali wasiliana nasi ili tushirikiane kuleta wanafunzi wapya katika taasisi zenu. Tupo tayari kwa ushirikiano rasmi!
Wasiliana nasi sasa kwa:
Simu/WhatsApp: 0775 559 164
AU BONYEZA KIUNGO CHA WHATSAPP IKUUNGANISHE MOJA KWA MOJA
FundiLink Network Hub Tanzania
“Empowering Skills. Connecting Futures.”
21/04/2025
Na hizi ni kozi ambazo tutakusaidia wewe mwanafunzi kuzipata kutoka katika vyuo vya ufundi mbalimbali tunavyoshirikiana navyo vilivyopo mikoa tofauti fofauti hapa nchini.
Lakini pia kwako mmiliki wa Chuo cha ufundi hii ni fursa yako ya kuweza kuitangaza taasisi yako, k**a unatoa baadhi ya kozi zilizo ainishwa hapa chini au zote kwa pamoja basi wasiliana nasi ili tuweze kukuunganisha na vijana wenye uhitaji wa mafunzo hayo kwa mikataba na mazungumzo yenye tija katika tasnia ya elimu ya ufundi
20/04/2025
WELCOME TO FUNDI-LINK NETWORK HUB TANZANIA!
Karibu kwenye jukwaa la pekee kwa wanafunzi, wahitimu na wadau wa elimu ya ufundi nchini Tanzania!
FundiLink Network Hub Tanzania ni mahali pa,
Kupata taarifa sahihi za vyuo na kozi za ufundi
Kuunganishwa na fursa za ajira na mafunzo
Kushiriki matamasha ya kuonyesha ujuzi wako
Kupata ushauri wa kitaalamu kuhusu maendeleo ya taaluma yako
K**a wewe ni mwanafunzi, mzazi, mwalimu, au mdau wa maendeleo ya ufundi – hapa ndipo mahali pako.
Follow page hii ili usipitwe na fursa muhimu zinazobadili maisha!
FundiLink Network Hub Tanzania – Empowering Skills, Connecting Futures.
20/04/2025
Karibu FundiLink Network Hub Tanzania! Hiki ni kituo mahsusi kwa ajili ya kuunganisha wanafunzi wa vyuo vya ufundi, kuwashauri kitaalamu, na kuwaonesha Tanzania ujuzi wao. K**a wewe ni mwanafunzi, mhitimu, au mdau wa elimu ya ufundi – basi hapa ndipo nyumbani kwako!
Follow page hii kwa fursa, matamasha, na taarifa muhimu kila siku!