Shilingi YANGU

Shilingi YANGU

Share

Empower Small Scale Entrepreneurs through Financial Education.

16/10/2025

4.MEDICAL INSURANCE POLICY; Hii ni AINA ya BIMA ambayo ni mahususi kwa ajili ya Kulipia Matibabu ya Hospitalini

16/10/2025

5.ANNUITY POLICY; Hii ni Aina ya BIMA ambayo INSURED hulipa Ada kwa kipindi Fulani au hadi atakapofikisha Umri fulani. Muda wa kutamatisha Mkataba unapofika, INSURED hulipwa Fedha aidha kila baada ya Mwezi au kwa kadiri ya Makubaliano. Aina hii ya BIMA ni Nzuri kwa watu wanaotaka kuwa na Uchumi usiotetereka kwa kipindi cha Maisha yake, hasa wakati wa uzee( wakati asioweza kufanya kazi).

16/10/2025

3. FAMILY INCOME POLICY ; Kwenye Hii Aina ya BIMA ,INSURED wa ENDOWEMENT POLICY akifariki Kabla ya Muda wa Mkataba kuisha, FAMILIA yake itanufaika na Ada ya BIMA iliyokuwa ikilipwa na INSURED

16/10/2025

2.ENDOWEMENT POLICY; Hii ni Aina ya BIMA ambayo Ada hulipwa kwa kipindi Fulani Cha Mkataba MFANO Miaka 2,3,4. Baada ya Muda wa Mkataba kuisha INSURED Atapewa kiasi kilichopatikana kutokana na Ada ya BIMA. Ikitokea INSURED Amefariki kabla ya Mkataba wa ENDOWEMENT POLICY kuisha, Wanufaika wake waliotajwa kwenye Mkataba watafaidika kutokana na Ada ya BIMA iliyokuwa ikilipwa na INSURED. Ada ya ENDOWMENT POLICY huwa ni kubwa ukilinganisha na WHOLE LIFE POLICY.

16/10/2025

1. WHOLE LIFE POLICY; Hii ni Aina ya BIMA ambayo INSURED analipa Ada ya BIMA kipindi chote Cha Maisha yake. Atakapokuwa Amefariki kiasi Cha Fedha kilichotokana na Ada ya BIMA hupelekwa kwa Wanufaika wake. Ada ya BIMA ya WHOLE LIFE POLICY huwa ni ndogo ukilinganisha na ENDOWMENT POLICY.
MFANO; Mzazi anapomzaa Mtoto anaweza kukata BIMA ya WHOLE LIFE POLICY akawa analipa Ada ya BIMA Maisha yake Yote . Atakapokuwa Amefariki Watoto wake watapewa kiasi cha fedha kilichotokana na Ada ya BIMA aliyokuwa akilipa Mzazi wao.

16/10/2025

ClASSES OF INSURANCE .
Bima imegawanyika katika makundi Mawili.
1. LIFE ASSURANCE
2. GENERAL INSURANCE.

11/10/2025

6. PRINCIPLE OF CONTRIBUTION; Kanuni hii inasema kwamba ikitokea Mali imekatiwa BIMA kwenye Kampuni zaidi ya Moja; endapo Janga litatokea Itabidi kila Kampuni ichangie ili kufidia Mali iliyopata Janga, Haitakiwi kila Kampuni ichangie thamani ya Mali husika , kwa sababu itamfanya INSURED apate FAIDA. Hii itakuwa ni kinyume na PRINCIPLE OF INDEMNITY.
MFANO ; Mali zenye thamani kubwa k**a Meli au Ndege hukatiwa Bima kwenye Kampuni zaidi ya MOJA( CO-INSURANCE). Endapo Ndege au Meli itapata Ajali , Kila Kampuni ya BIMA itapaswa kuchangia kiasi kidogo ili kufidia thamani ya Meli au Ndege, Haipaswi kila Kampuni kuchangia Kiasi Cha Fedha kinacholingana na thamani ya Meli au Ndege , hii itasababisha INSURED kupata FAIDA, itakiuka PRINCIPLE OF INDEMNITY.

11/10/2025

4. PRINCIPLE OF INDEMNITY; Kanuni hii inasisitiza kwamba lengo la Kampuni ya BIMA sio kuwapa watu FAIDA Bali ni kuwarudisha kwenye Hali walizokuwa nazo kabla hawajapata Janga. Mfano Ofisi ikapata Ajali ya Moto na vitu vilivyoungua ni Computer pamoja na Meza,Viti. Kampuni ya Bima itafidia vitu vilivyoungua na sio jengo zima la Ofisi

07/08/2025

PRINCIPLE OF PROXIMATE CAUSE; Nyumba imekatiwa BIMA dhidi ya MOTO, Wezi wameiba na kuwasha MOTO. Kisababishi ni Wezi na sio Moto. Hivyo Janga halitafidiw

07/08/2025

5. PRINCIPLE OF PROXIMATE CAUSE; Kanuni hii inasisitiza kwamba kunapaswa kuwe na uhusiano kati ya Janga lililokatiwa BIMA na Kisababishi cha Janga.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam