16/01/2026
https://chat.whatsapp.com/B5iqQtgTopvFfVu1X5cvA6
Kwa waliosoma maswa karbuni kund la whatsaap hapa mnaweza pia kutaftana mliopotezana nk
MASWA GIRLS SECONDARY SCHOOL ALUMNI🏫
WhatsApp Group Invite
05/06/2024
Habari ndugu zangu ! Kwa wale ambao ndugu zao wamechaguliwa kujiunga kidato cha tano
mwaka 2024/2025 Maswa girls ss kwa tahasusi za HGE, HGK, HKL, HGL PCM PCB PMC CBG CBN BNS fomu ya kujiunga na shule yetu utaipata kwa kuomba kupitia namba 0764961040 au 0655961040 andika ujumbe kwa whatsap
01/05/2023
Best of luck wachumi wangu kidato Cha SITA
06/03/2023
Na wanafunzi wangu Bora wa uchumi
16/12/2022
God over everything! Mlezi wa club anawatakia Mapumziko na sikukuu njema
12/08/2022
Habarini wana tax club hapo chini ni ratiba ya mitihani ya kufungua shule, itaanza tarehe 29 august 2022 siku ya jumatatu! Hvyo basi jitahidini kuwah sana ili muendane na ratiba hii kwa kidato cha tano na sita wote. MUNGU AWABARIKI MRUDI SALAMA. MASWA WILL ALWAYS SHINE AND YOU ARE THE ONE TO MAKE A HISTORY.
10/08/2022
The new tax club chosen chairperson her name is Ladywinner Lawrence Lagwen, please try your level best to uplift our club! God is with you and he will bless you more our leader
10/08/2022
The former tax club chairperson 2021/2022 Nasra Issa Mohamed you have done your part God will bless you.