18/05/2026
Types of teachers and their characteristics
1. History - hawa hawananga kazi, kazi yao ni kula na kuform group classes wanawapea past papers..Alafu hawa wanakuag k**a catalyst ukikosa na upelekwe staffroom wanakuja kuchangia 2🥹
2. Chemistry -hawa ni wengine very idle kazi yao ni kukatia wasichana kila class wanakuanga na Dem Alafu wanakua class na macho ya red utadhani wamemeza HCL👋👋
3. CRE-hawa wanangonjea wazazi wakufe waanze kuchangisha pesa na hawakuangi wameokoka though wanapreach😂😂
4. Biology - hawa ndo pekee wanafaa kuwa wanalipwa wanafunza vizuri lakini tukifika chapter ya reproduction wanarukaruka🥺🥺
5. Kiswahili - hawa unawapelekea complains siku ya Monday wanakuambia uongee kiswahili utadhani ni wao waliandika kamusi🤞🤞
6. Business - hawa hudhani wanategeneza pesa utasikia welcome to the world of money ni k**a wanafanya kazi bank
7. Physic - hawa kazi yao ni kuvaa vile wanataka unaeza Dhani ni mtu wa kenya power alipigwa shock akifanya practicals🥺😂😂
8. Mathematics - hawa hawamalizangi syllabus kila siku ni we need extra time to teach na wanakuanga kiherehere sana na kupeana guidance na fake motivation
9. Agriculture - hawa hukuwa wamesota na mkianza kugawiwa shamba za project anakukatia kadogo utadhani ni mtu wa lands😂😂😂na wanakuanga na kakitambi ka ufala
10. Geography - hawa ukuwa wagumi k**a mawe na maringo utadhani wako sure the earth is spherical 🫣🫣🫣
11. English - hawa k**a ni Dem kazi yake ni kukula na kuslay na maringo miingi utadhani ni yy aliandika dictionary but all English men wataenda heaven 😏🥺
12. Computer - hawa wanajifanyanga kujua kila kitu ata ni k**a ni wao walitegeneza simu na hawakuangi kufunza na wanakuanga na fake partners
13. Home science - hawa wanajua kupika na usafi miingi lakn kwao nyumbani ata hawajui kuosha choo na kupikia mabwana zao🤭🤭
14. PE - hawa kazi yao ni kusweat mpaka matako hawananga kazi ingine
15. French-hawa ni wengine wanabow hudhani juh wanajua french wanaeza rule uko 😂👊
😂😂😂😂
18/04/2026
18/04/2026