28/05/2026
🚨 MAZINDE JUU WAONGOZA PRE APPLICATION ABROAD
Wazazi wa Mazinde Juu wameonyesha kitu kimoja muhimu sana…
🔥 Exposure ya mapema inaweza kubadilisha kabisa future ya mtoto.
Zaidi ya wazazi 20 kutoka Mazinde Juu tayari wamefanya pre-application ya kusoma vyuo vikuu nje ya nchi kupitia Akili Education na watoto wao washapata admission letters mapema.
Na kitu cha kushangaza ni hiki…
Asilimia kubwa ya wazazi hao walifanya application:
✅ kabla hata watoto hawajafanya mtihani wa taifa
✅ kabla competition haijawa kubwa
✅ kabla kozi nzuri hazijajaa
Hii ndiyo tofauti ya wazazi wenye maono.
Wakati wengine wanasubiri matokeo kwanza ndipo waanze kuhangaika…
Wengine tayari wanakuwa:
✔ wamepata admission
✔ wamepanga budget
✔ wamechagua kozi nzuri
✔ na wanasubiri safari tu baada ya matokeo kutoka
Na sasa hivi…
🔥 wazazi wa Kazirege
🔥 Ahmes
🔥 Marian Boys
🔥 pamoja na Feza
wanaanza kufuatia trend hii kwa kasi kubwa sana.
Kwa sababu ukweli ni huu…
Kozi nzuri na vyuo vizuri huwa vinajaa mapema.
Kupitia Akili Education, mwanafunzi anaweza kufanya pre-application kwa kutumia:
📄 matokeo ya Form Four
📄 pamoja na continuous assessment za Advance Level
Na uzuri ni kwamba tuna vyuo nchini India ambapo mwanafunzi anaweza kusoma kwa:
💰 milioni 8 tu kwa mwaka mzima
ikijumuisha:
✅ ada
✅ malazi
✅ chakula
Ukiachana na India tuna destinations nyingine k**a:
🇪🇸 Spain
🇨🇦 Canada
🇬🇧 UK
🇦🇪 Dubai nk
Usisubiri mpaka kila mtu aanze kuapply ndipo uanze kuhangaika.
👇 Comment neno “APPLICATION” tukutumie muongozo wa kuapply mapema kabla vyuo na kozi nzuri hazijajaa.
28/05/2026
🚨 KITABU AMBACHO MATAJIRI HAWATAKI UKISOME
Kuna sababu kwanini watoto wengi wa matajiri wana future tofauti na watoto wengi wa kawaida…
Sio kwamba wana akili sana kuliko wengine.
La hasha.
Tofauti kubwa ni:
✅ taarifa wanazopewa mapema
✅ exposure
✅ kozi wanazoelekezwa kusoma
✅ na jinsi wazazi wao wanavyopanga future zao mapema sana
Wakati wazazi wengi bado wanawaza:
“Mtoto wangu apate degree tu…”
Wazazi wenye maono wanaangalia:
❌ dunia inaenda wapi
❌ AI itafuta kazi zipi
❌ technology itabadilisha industries gani
❌ kozi zipi zitakuwa na pesa miaka 10 ijayo
❌ na mtoto atasimama vipi kimataifa
Na ukweli mchungu ni huu…
Kuna kozi ambazo zamani zilikuwa zinaheshimika sana lakini sasa:
⚠️ zimejaa watu
⚠️ competition imekuwa kubwa
⚠️ mishahara imeshuka
⚠️ na automation inaanza kuzifuta taratibu
Wakati huo huo…
Kuna kozi ambazo:
🔥 zina future kubwa sana
🔥 zina demand kubwa duniani
🔥 zinalipa vizuri
🔥 na zingine Tanzania bado watu hawazijui vizuri kabisa
Ndiyo maana tumeandika kitabu hiki:
📘 “Kozi Wanasoma Watoto wa Matajiri”
Kitabu hiki si motivation.
Ni blueprint ya future ya mtoto wa kizazi hiki.
Ndani yake utaelewa:
✅ Kozi zenye pesa na future kubwa duniani
✅ Kwanini matajiri hawapendi tena degree za mazoea
✅ Kozi ambazo AI haiwezi kuzifuta kirahisi
✅ Future jobs zinazokuja kwa kasi
✅ Nchi nzuri kusoma kozi hizo
✅ Masters zinazofuata
✅ Na jinsi ya kupanga maisha ya mtoto mapema
Ukweli ni huu…
Taarifa zilizopo humu watu wengine hulipia:
💰 mamia ya dola kwenye consultation
Lakini sisi tumekifanya kitabu hiki kiwe accessible kwa kila mzazi na mwanafunzi.
Bei yake ni:
💰 Tsh 20,000 tu.
Miaka 5 ijayo unaweza kuja kukumbuka post hii.
👇 Comment neno “KITABU” tukutumie jinsi ya kupata nakala yako.
28/05/2026
Leo ofisini amekuja mwanafunzi yupo mwaka wa tatu Bachelor in Heritage Management…
Analalamika haoni mwanga katika hiyo kozi hivyo anataka kuibadilisha aanze moja ya kozi nyingine nzuri tutakayomshauri.
Muda umepotea.
Pesa zimepotea pia.
Na ukweli ni huu…
Watanzania wengi hawako makini kabisa inapofika muda wa kuchagua kozi.
Watu wanachagua kozi:
❌ kwa mazoea
❌ kwa pressure ya jamii
❌ kwa sababu marafiki wamechagua
❌ au ilimradi wapate degree
bila kujua kozi unayoichagua leo ndiyo inayoweza kuamua maisha yako miaka 10 ijayo.
Dunia imebadilika.
Makampuni ya leo na hospitali za kisasa zinahitaji:
✅ technology
✅ specialization
✅ digital skills
✅ AI knowledge
✅ international exposure
Kozi zinazouzika kimataifa sasa hivi ni pamoja na:
🤖 Artificial Intelligence
🔐 Cyber Security
📊 Data Science
☁️ Cloud Computing
💻 Software Engineering
🧠 UI/UX Design
📱 Digital Marketing
✈️ Aviation Management
❤️ Cardiovascular Technology
🩺 Dialysis Technology
👁 Optometry
🧬 Biotechnology
💊 Pharmacy
🏥 Radiology & Medical Imaging
⚙️ Biomedical Engineering
Na kitu kizuri zaidi ni hiki…
Nyingi ya kozi hizi:
✅ zina demand kubwa duniani
✅ zina mishahara mizuri
✅ unaweza ukaishi Tanzania ukafanya kazi Marekani au Ulaya remotely
✅ na zingine Tanzania bado hazipo kabisa
Wakati wengine wanagombania kozi zilizojaza watu tayari…
Wengine wanaingia kwenye fields zenye:
🔥 future kubwa
🔥 technology
🔥 international opportunities
🔥 na pesa ndefu
Uzuri ni kwamba kupitia Akili Education, nyingi ya kozi hizi zinapatikana nchini India kwa budget ya:
💰 milioni 8 tu kwa mwaka
ikijumuisha:
✅ ada
✅ malazi
✅ chakula
👇 K**a una budget ya milioni 8 kwa mwaka, comment neno “KOZI” tukutumie muongozo wa kujiunga
Follow
27/05/2026
🚨 TANZANIA HAKUNA BACHELOR IN OPTOMETRY 🚨
Miaka ya nyuma Bachelor in Optometry ilikuwepo kwenye baadhi ya vyuo hapa Tanzania…
Lakini baadae baadhi ya programmes zilisimamishwa baada ya vyuo kushindwa kutimiza vigezo vya TCU.
Muda huu, sehemu nyingi utakuta:
❌ diploma ipo
❌ lakini bachelor hakuna
Na hapo ndipo opportunity kubwa ilipojificha.
Kwa sababu ukweli ni huu…
👓 Bachelor in Optometry ni moja ya kozi za afya:
✅ zenye demand kubwa
✅ zenye ushindani mdogo
✅ zenye nafasi nzuri ya kujiajiri
✅ na zinazolipa vizuri sana
Na tofauti na watu wengi wanavyofikiria…
Kozi hii:
✔ inatambulika na TCU
✔ ina baraza lake
✔ na mfumo wake wa kitaaluma umekamilika rasmi
Tatizo ni kwamba:
wahitimu wake bado ni wachache sana.
Ndiyo maana wengi wao wanaanza mishahara ya:
💰 milioni 1 kwenda juu
Na kitu kizuri zaidi ni hiki…
Optometrist anaweza:
✅ kufanya kazi hospitali
✅ kufanya kazi vituo zaidi ya kimoja
✅ kufungua optical centre yake
✅ kuuza miwani na vifaa vya macho
✅ kufanya consultancy
Na honestly…
Hii ni moja ya kozi rahisi zaidi za afya kujiajiri.
Kituo kimoja tu cha macho kinaweza kutengeneza:
🔥 mpaka milioni 20 kwa mwezi k**a faida
Wakati wengine wanagombania fields zilizojaa watu tayari…
Wengine wanaingia kwenye specialization zenye:
✅ future kubwa
✅ pesa nzuri
✅ na freedom ya kujiajiri mapema
Kupitia Akili Education tuna:
🔥 nafasi 5 tu za Bachelor in Optometry nchini India
kwa budget ya:
💰 milioni 8 tu kwa mwaka
ikijumuisha:
✅ ada
✅ malazi
✅ chakula
👇 Comment neno “MACHO” tukutumie muongozo wa kujiunga.
26/05/2026
🚨 UNAIJUA BACHELOR IN ANAESTHESIA TECHNOLOGY?
Kuna watu wengi wakienda hospitali wanaona mgonjwa anaingia theatre kufanyiwa operation…
Lakini hawajui kuna wataalamu maalum wanaohakikisha:
✅ mgonjwa hasikii maumivu
✅ mapigo ya moyo yako stable
✅ oxygen inaingia vizuri
✅ na mgonjwa yupo salama muda wote wa operation
Hawa wataalamu ndio huitwa:
Anaesthesia Technologists.
Na ukweli ni kwamba…
Hii ni kati ya kozi za afya zenye:
🔥 demand kubwa
🔥 ushindani mdogo
🔥 future kubwa duniani
🔥 na connection kubwa sana na technology ya hospitali
Wakati watu wengi wanagombania Medicine pekee…
Dunia ya sasa inahitaji specialists wa theatre, ICU, emergency na surgical systems.
Na kitu cha kushangaza ni hiki…
Tanzania kozi hii mara nyingi hujulikana k**a:
Bachelor of Science in Nurse Anaesthesia (BSc.NA)
ambapo mara nyingi wanaoruhusiwa ni wahitimu wa Nursing.
Lakini nchini India, mwanafunzi wa PCB au hata Diploma ya Clinical Medicine anaweza kujiunga moja kwa moja na:
🎓 Bachelor in Anaesthesia Technology
na kuanza kujenga career yenye future kubwa sana kwenye hospitali za kisasa.
Kupitia Akili Education, mwanafunzi anaweza kusoma kozi hii nchini India kwa budget ya:
💰 milioni 8 tu kwa mwaka
ikiwa inajumuisha:
✅ ada
✅ malazi
✅ chakula
Na ukweli ni huu…
Anaesthesia Technology ni moja tu kati ya kozi nyingi za afya zenye mishahara mizuri na future kubwa duniani ambazo watu wengi Tanzania bado hawazijui vizuri.
Ndiyo maana tumeziandika vizuri kwenye kitabu chetu:
📘 “Kozi za Afya Zinazolipa Zaidi Duniani”
Kitabu hiki kinauzwa:
💰 Tsh 10,000 tu.
👇 DM neno “KITABU” tukutumie jinsi ya kukipata.
26/05/2026
Kuna wazazi wengi Tanzania wameuza viwanja, wamekopa benki, wamechangisha ndugu na marafiki ili watoto wao waende kusoma nje ya nchi…
Lakini mwisho wa siku:
❌ mtoto anarudi nyumbani hana direction
❌ kozi haina soko
❌ gharama zinakuwa kubwa kuliko walivyoambiwa
❌ au mwanafunzi anapotea kabisa njiani
Na kitu cha kusikitisha zaidi ni hiki…
Mara nyingi hawakukosea kwa sababu hawakuwa na uwezo.
Walipoteza pesa kwa sababu:
walipewa nusu ukweli.
Ndiyo maana tumeandika kitabu hiki:
📘 “SIRI: Mambo Usiyoyajua Kuhusu Vyuo Vikuu Nje ya Nchi”
Kitabu hiki si matangazo ya vyuo.
Ni ukweli ambao maagent wengi hawawezi kukuambia mapema.
Ndani yake utaelewa:
✅ Nchi gani zina value halisi kwa mwanafunzi wa Tanzania
✅ Ukweli kuhusu India, Dubai, China, Cyprus, UK, USA na nchi nyingine
✅ Hidden costs ambazo watu wengi huja kuzijua wakiwa wamechelewa
✅ Kozi zenye future kubwa duniani
✅ Makosa yanayowafanya wazazi wengi wachome pesa
✅ Kwa nini baadhi ya wanafunzi huharibikiwa nje ya nchi
✅ Foundation vs Diploma vs A-Level
✅ Jinsi ya kupanga future ya mtoto mapema bila kubahatisha
Na ukweli ni huu…
Taarifa zilizopo humu ungeweza kuzilipia:
💰 consultation ya $500 mpaka $1000
Kwa sababu kosa moja la nchi, chuo au kozi linaweza kugharimu:
• miaka ya maisha
• future ya mtoto
• na mamilioni ya pesa
Lakini sisi tumeamua kukifanya hiki kitabu kiwe accessible kwa kila mzazi na mwanafunzi.
Bei yake ni:
💰 Tsh 20,000 tu.
Kitabu hiki kinaweza kukuokoa makosa ambayo watu wengine huja kujifunza baada ya kupoteza pesa nyingi sana.
Kesho unaweza kuja kujuta kwanini hukuwa na taarifa hizi mapema.
👇 Comment neno “KITABU” tukutumie DM jinsi ya kupata kitabu chako.
⚠️ PS: Usisahau kusoma SURA YA 8:
“Hasara za Kusoma Nje, na Jinsi ya Kuepuka Nazo.”
25/05/2026
Mtoto wako amefaulu vizuri kwenda degree ila kwasababu amekosa kozi anayoitaka unaamua kumpeleka diploma.
Au unampeleka kozi ilimradi apate bachelor degree bila kujua kozi hiyo soko lake limejaa na akimaliza anaweza kubaki mtaani miaka mingi akisubiri ajira.
Kuna wazazi wengi leo wanajuta…
Sio kwa sababu watoto wao hawakufaulu.
Bali kwa sababu:
❌ walikosa taarifa sahihi mapema
❌ walichagua kozi kwa mazoea
❌ hawakujua dunia inaenda wapi
❌ hawakujua scholarships zilizopo
❌ hawakujua kozi zenye future kubwa duniani
Wakati huo huo…
Wazazi wenye maono tayari wanawaandaa watoto wao mapema kwenye:
✅ AI, Technology, Health Specialization, Aviation, Cyber Security, Data Science
na kozi nyingine zenye demand kubwa duniani.
Ndiyo maana Akili Education tumefungua:
🔥 WhatsApp Group Maalum kwa Wazazi na Wanafunzi
Kwenye group hili tutakuwa tunatoa:
✅ Ushauri wa kozi sahihi
✅ Scholarships mbalimbali
✅ Updates za admissions
✅ Career guidance
✅ Opportunities za kusoma vyuo vizuri nje
✅ Future careers & technology trends
✅ Makosa ambayo wazazi wengi hufanya
Na ukijiunga utapata BURE vitabu vyetu tulivyokuwa tunauza:
📘 Kozi za Afya Zinazolipa Duniani, Tsh: 10,000/=
📘 SIRI: Kozi Wanazosoma Watoto wa Matajiri, Tsh: 20,000/=
📘 Full Funded Scholarships Zote Duniani, Tsh: 20,000/=
📘 Mambo Usiyoyajua Kuhusu Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Tsh: 20,000/=
Pia utapata:
🎓 Consultation ya dakika 30 na wataalamu wetu wa elimu wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 7.
Jiunge kwa:
💰 Tsh 100,000 tu kwa mwaka mzima.
Na k**a hujanufaika chochote ndani ya mwaka…
tunakurudishia hela yako.
👇 Comment neno “GROUP” tukutumie muongozo wa kujiunga.
24/05/2026
Kuna wahitimu wengi wa afya Tanzania wanafikiria njia pekee ya kuongeza elimu ni:
MMed au Masters zile zile zinazojulikana sana.
Lakini ukweli ni kwamba dunia ya afya imebadilika sana.
Hospitali kubwa duniani sasa zinahitaji specialists wa:
technology, imaging, cardiac systems, rehabilitation, dialysis, neuroscience, digital health na advanced healthcare systems.
Na kitu cha kushangaza ni hiki…
Kuna masters nyingi za afya ambazo:
✅ zina demand kubwa duniani
✅ zina mishahara mikubwa
✅ zina specialization kali sana
✅ lakini bado hazipatikani kwenye vyuo vingi hapa Tanzania
Mfano wa masters hizo ni:
• MSc in Cardiovascular Perfusion Technology
• MSc in Echocardiography
• MSc in Cardiac Imaging
• MSc in Interventional Cardiology Technology
• MSc in Clinical Cardiac Science
• MSc in Dialysis Technology
• MSc in Emergency & Critical Care Technology
• MSc in Neuro Technology
• MSc in Audiology & Speech Language Pathology
• MSc in Rehabilitation Sciences
• MSc in Radiology & Imaging Sciences
• MSc in Anaesthesia Technology
• MSc in Hospital & Healthcare Technology
• MSc in Biomedical Engineering
• MSc in Health Informatics
• Msc in Mental Health
Baadhi ya hizi specialization bado ni mpya sana Afrika lakini duniani zina demand kubwa mno kutokana na: AI, hospital technology, imaging systems na advanced healthcare.
Ndiyo maana wahitimu wengi smart wa afya sasa wanaanza kuangalia specialization mapema kabla field hazijajaa watu wengi.
Na ukweli ni huu…
Miaka michache ijayo, specialists wa afya watahitajika zaidi kuliko generalists wengi.
Kozi nyingi kati ya hizi zinapatikana nchini India ambapo baadhi ya vyuo vinatoa: scholarship ya mpaka 50%
Baada ya scholarship, mwanafunzi anaweza kusoma kwa budget ya karibu: milioni 8 tu kwa mwaka
ikiwa inajumuisha:
ada
malazi
chakula
India imekuwa moja ya siri kubwa ya wahitimu wa afya wenye maono kutokana na:
• hospital exposure kubwa
• technology ya kisasa
• gharama nafuu
Usisubiri field ijae watu ndipo uanze kutafuta njia.
👇 Comment neno “AFYA” tukutumie muongozo wa kusafiri intake hii ya July/September ukasome kozi itakayobadilisha maisha yako na kukuongezea mshahara wako.
24/05/2026
Kumetokea kasumba kubwa sana Tanzania…
Ukimaliza combination ya ECA au EGM, watu wanaanza kukwambia:
“nenda BAF”
au
“nenda BBA”
Kana kwamba dunia nzima ya biashara imeishia hapo.
Ukweli ni kwamba dunia imebadilika sana.
Makampuni ya leo hayataki watu wa degree za kawaida pekee.
Yanataka watu wenye:
✅ technology skills
✅ international exposure
✅ digital skills
✅ specialization
✅ uwezo wa kutatua matatizo ya biashara za kisasa
Na kitu cha kusikitisha ni hiki…
Wanafunzi wengi wa ECA na EGM wana uwezo mkubwa sana lakini wanapelekwa kwenye kozi zile zile zenye ushindani mkubwa kwa sababu tu “ndizo zinazojulikana.”
Wakati huo huo, kuna kozi nyingi nzuri sana ambazo:
• zina future kubwa
• zina demand kubwa duniani
• hazijajaa watu kabisa
• na zingine hata Tanzania bado watu hawazijui vizuri
Mfano:
✈️ Aviation Management
📱 Digital Marketing
💰 International Accounting with ACCA
🤖 Artificial Intelligence
📊 Business Analytics
☁️ Cloud Computing
📈 Data Science
🛒 E-Commerce
🎨 UI/UX Design
🌍 International Business
📦 Logistics and Supply Chain Management
🧠 FinTech
Na ukweli ni huu…
Baadhi ya hizi kozi miaka michache ijayo zinaweza kuwa na opportunities kubwa zaidi kuliko kozi ambazo watu wengi wanagombania leo.
Ndiyo maana wazazi wenye maono wameanza kuwapeleka watoto wao kwenye:
technology + business + specialization.
Kwa sababu biashara za kesho zitahitaji watu wanaoelewa:
AI
data
digital systems
branding
online business
aviation
international markets
Kupitia Akili Education, mwanafunzi wa ECA au EGM anaweza kusoma kozi hizi nje ya nchi hasa India kwa budget ya kuanzia milioni 8 tu kwa mwaka ikijumuisha:
✅ ada
✅ malazi
✅ chakula
Na baadhi ya vyuo vinatoa scholarship pamoja na malipo kwa awamu.
Usikubali mtoto wako afikirie future yake inaishia BAF na BBA pekee.
Dunia ni kubwa kuliko ulivyoambiwa shuleni.
K**a una bajeti ya milioni 8 kwa mwaka, Comment neno “ECA” au “EGM” tukutumie muongozo wa kujiunga
22/05/2026
Kuna wazazi wengi Tanzania wameuza mashamba, wamekopa benki, wamehangaika usiku na mchana ili mtoto wao asome Medicine… wakiamini ndiyo njia pekee ya maisha mazuri.
Lakini kuna ukweli mchungu ambao hakuna anayewaambia mapema.
Dunia ya afya imebadilika.
Hospitali za kisasa hazihitaji madaktari pekee.
Zinahitaji specialists.
Zinahitaji technology.
Zinahitaji wataalamu wa moyo, figo, macho, imaging, dialysis, anaesthesia, emergency care na rehabilitation.
Na kitu cha kusikitisha ni hiki…
Wakati wazazi wengi bado wanagombania Medicine, kuna kozi za afya ambazo:
✅ zina ushindani mdogo
✅ zina future kubwa
✅ zina demand kubwa duniani
✅ zinaweza kumbadilishia maisha mtoto faster kuliko walivyotarajia
Ndiyo maana tumeandika kitabu hiki:
📘 “KOZI ZA AFYA ZINAZOLIPA ZAIDI DUNIANI”
Mwongozo wa Kozi za Afya zinazolipa zaidi Duniani
Kitabu hiki si cha motivation.
Ni ramani ya future ya mtoto wako.
Ndani yake utaelewa:
• Kozi gani zina future kubwa miaka ijayo
• Kwanini baadhi ya kozi maarufu zimeanza kujaa sana
• Kozi za afya ambazo hospitali zitazitafuta kwa tochi
• Kwanini India imekuwa siri kubwa ya wazazi wenye maono
• Jinsi mtoto anavyoweza kusoma nje kwa budget ya milioni 8 tu kwa mwaka
• Masters zinazofuata baada ya kila kozi
• Kozi ambazo AI haiwezi kuzifuta kirahisi
• Na kwanini taarifa sahihi inaweza kubadilisha maisha ya familia nzima
Ukweli ni huu…
Tungeweza kuuza kitabu hiki kwa:
💰 Tsh 50,000
au hata
💰 Tsh 100,000
Kwa sababu taarifa zilizopo humu zinaweza kuokoa miaka ya mateso ya mwanafunzi mmoja.
Lakini tumekifanya kiwe accessible kwa kila mzazi na mwanafunzi kwa Tsh 10,000 tu.
Kesho unaweza kujuta kwanini hukusoma mapema.
👇 Comment neno “KITABU” tukudm jinsi ya kupata kitabu hiki.
22/05/2026
Wanafunzi wengi wanachagua CBG wakiamini baadaye wataenda kusoma kozi za afya k**a Pharmacy, lakini wakifika hatua ya kuomba vyuo wanakutana na ukweli mchungu:
CBG inakupa options chache sana vyuoni.
Tatizo kubwa ni hili:
CBG haina Physics, na kozi nyingi za afya zinahitaji Physics k**a moja ya masomo muhimu. Ndiyo maana mwanafunzi anaweza kuwa amefaulu vizuri kabisa, lakini bado akawa hayuko eligible kusoma kozi nyingi za afya.
Hii imewafanya wanafunzi wengi kujutia combination waliyochagua, hasa wale waliokuwa na ndoto ya kusoma Pharmacy, Radiology, Clinical Medicine, Biomedical Engineering, au kozi nyingine za afya zinazohitaji Physics.
Lakini usikate tamaa.
K**a tayari umesoma CBG, bado kuna kozi nzuri sana zenye future ambazo unaweza kusoma, hasa nchini India kwa bajeti ya takribani milioni 8 kwa mwaka inayojumuisha:
Ada
Malazi
Chakula milo mitatu kwa siku
Kupitia Akili Education, unaweza kupata options k**a:
Bachelor in Microbiology
Bachelor in Biotechnology
Bachelor in Biochemistry
Bachelor in Computer Science
Bachelor in Cyber Security
Bachelor in Artificial Intelligence
Bachelor in Nutrition and Dietetics
Bachelor in Food Technology
Bachelor in Environmental Sciences
Bachelor in Business Administration
Na nyingine nyingi.
Uzuri ni kwamba, CBG pia wanaweza kusoma baadhi ya kozi za tech k**a Cyber Security na Artificial Intelligence, hivyo bado unaweza kubadilisha safari yako na kuingia kwenye kozi zenye demand kubwa duniani.
Akili Education inaweza kukusaidia process zote kuanzia kuchagua kozi, admission, passport, visa, ticket mpaka unasafiri kwenda India.
Ukiona taarifa hii, mpitishie na mwenzako. Inaweza kumuokoa mwanafunzi asifanye maamuzi ambayo atayajutia baadaye.
K**a una bajeti ya milioni 8 kwa mwaka, comment “CBG” tukutumie muongozo mzima wa kujiunga.
Follow kila siku tunaleta fursa mpya. Isipokufaa wewe, inaweza kumfaa mtu wako wa karibu.