01/06/2026
HONGERA WANAFUNZI WETU WA ZANGO COLLEGE! ππ
Tunajivunia kuona wanafunzi wetu wakianza mafunzo ya vitendo (Field) katika Hospitali ya Rufaa Mkoa Zango Zaidi, hatua muhimu katika safari yao ya kuwa wataalamu bora wa afya na maendeleo ya jamii.
π Elimu bora + π₯ Mazoezi ya vitendo
Tunawatakia kila la heri katika kujifunza, kujenga uzoefu na kuitumikia jamii kwa weledi, ujuzi na huruma.
π’ Udahili wa Masomo 2026/2027 unaendelea!
Usikose fursa ya kujiunga na chuo kinachokupa elimu bora pamoja na mazingira halisi ya kujifunzia.
β
Pharmaceutical Sciences
β
Health Information Sciences
β
Laboratory Assistance
β
Social Work
Hostel Bure
Medical Check-up Bure
Ada Nafuu na Malipo kwa Awamu Nne (4)
π Chamazi Mfenesini
π Wasiliana nasi:
0799117718 | 0799117721
0713407416 | 0757137379
0717120575
Nafasi ni chache sana, wahi kujiunga leo!
30/05/2026
DIRISHA LA UDAHILI 2026/2027 SASA WAZI! π
Je, unatamani kujenga taaluma yenye fursa nyingi katika sekta ya afya na maendeleo ya jamii? Karibu Zango College of Health and Allied Sciences upate elimu bora kwa gharama nafuu.
β
Ada nafuu sana
β
Malipo kwa awamu nne au kila mwezi
β
Hostel bure
β
Medical check-up bure
β
Mazingira bora ya kujifunzia na wataalamu wenye uzoefu
π Kozi Zinazotolewa:
πΉ Pharmaceutical Sciences
πΉ Health Information Sciences
πΉ Laboratory Assistance
πΉ Social Work
π° Ada ya kuanzia kujiunga:
βοΈ Pharmaceutical Sciences β Tsh 349,650 tu
βοΈ Health Information Sciences β Tsh 251,250 tu
βοΈ Laboratory Assistance β Tsh 249,375 tu
βοΈ Social Work β Tsh 248,875 tu
π’ Nafasi ni chache sana! Wahi kuomba mapema kabla hazijaisha.
π Wasiliana nasi:
0799117718 | 0799117721
0713407416 | 0757137379 | 0717120575
π Apply sasa kupitia: www.zacohas.ac.tz
29/05/2026
UDAHILI 2026/2027 UMEFUNGULIWA!
Jiunge na kwa kozi za afya kwa ada nafuu sana ππ
β
Pharmaceutical Sciences β Tsh 349,650
β
Social Work β Tsh 248,875
β
Laboratory Assistance β Tsh 249,375
β
Health Information Sciences β Tsh 251,250
Hostel Bure
Medical Checkup Bure
Malipo kwa awamu 4 au kila mwezi
β οΈ Nafasi ni chache sana, wahi kuapply mapema!
π 0799117718 / 0799117721
π Apply kupitia website yetu
28/05/2026
DIRISHA LA USAJILI 2026/2027 LIMEFUNGULIWA RASMI! π’π
Karibu kujiunga na Zango College of Health and Allied Sciences kwa mwaka wa masomo 2026/2027 ππ
Tunatoa kozi bora za afya zenye fursa kubwa za ajira:
β
Pharmaceutical Sciences
β
Health Information Sciences
β
Laboratory Assistance
β
Social Work
π₯ FAIDA ZA KUJIUNGA NASI:
βοΈ Ada nafuu sana
βοΈ Zinalipwa kwa awamu nne (4)
βοΈ Hosteli ni bure
βοΈ Medical check up ni bure
βοΈ Mazingira bora ya kujifunzia
π Tunapatikana: Chamazi Mfenesini, Dar es Salaam
π Wasiliana nasi sasa:
0717120575
0713407416
0757137379
0799117718
0799117721
π www.zacohas.ac.tz
βElimu Bora, Uongozi Bora, Maisha Bora.β
27/05/2026
EID AL ADHA MUBARAK β¨π
Uongozi na Menejimenti ya Zango College of Health and Allied Sciences unawatakia Waislamu wote na Watanzania kwa ujumla Heri ya Sikukuu ya Eid Al Adha π€²π
Sikukuu hii ya baraka iwe chanzo cha amani, upendo, mshikamano na mafanikio katika familia na jamii zetu. Mwenyezi Mungu azipokee ibada zenu na awajalie afya njema, furaha na maendeleo katika maisha yenu.
Tunawatakia nyote Eid Al Adha njema na yenye baraka tele.
π Tunapatikana: Chamazi Mfenesini, Dar es Salaam
π Kwa mawasiliano:
0717120575
0799117718
0799117721
0713407416
0610480818
0757137379
0617030558
π Website: www.zacohas.ac.tz
π± Instagram & Facebook:
Zango College β Elimu Bora kwa Afya ya Jamii.
01/05/2026
HAPPY INTERNATIONAL WORKERSβ DAY ππ·ββοΈ
Uongozi na Menejimenti ya Zango College of Health and Allied Sciences inawatakia wafanyakazi wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) πΌ
Tunatambua na kuthamini mchango mkubwa wa wafanyakazi katika kujenga uchumi, maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
Juhudi zenu ndizo nguzo ya mafanikioβendelea kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na moyo wa kujituma. π
Tunawatakia siku njema yenye furaha, heshima na motisha mpya kazini.
π Tunapatikana: Chamazi Mfenesini, Dar es Salaam
π Kwa mawasiliano:
0717120575
0799117718
0799117718
0713407416
0610480818
0757137379
0617030558
π Website: www.zacohas.ac.tz
π± Instagram & Facebook:
Zango College β Elimu Bora kwa Afya ya Jamii. ππ₯