Cecy Tarimo

Cecy Tarimo

Share

https://softteacher.co.tz/signup

Tap the link to join our platform 👆👆

19/05/2026

Mzazi, usikubali mwanao apitwe na mitihani ya mwezi huu🔥

Mitihani ya SoftTeacher ni nafasi ya mwanao kuongeza uelewa, kujiamini na kufanya vizuri zaidi darasani 📚✨

14/05/2026

Je, mtoto wako anajifunza kwa sababu unasimamia… au anajifunza kwa sababu anaelewa umuhimu wa elimu? 📚✨

Jiunge nasi kwenye semina maalum kwa wazazi na walimu ujifunze namna ya kumuwezesha mtoto kujifunza kwa kujitegemea bila usimamizi wa kila wakati🔥

Saturday, 16/05/2026
Saa 5:00 Asubuhi
Google Meeting

Elimu bora inaanzia nyumbani 🤝
Cecy Tarimo

05/05/2026

Je, unatamani mwanao awe na uwezo wa kujifunza mwenyewe kwa umakini bila kuhitaji kusimamiwa kila wakati?

SoftTeacher tunakukaribisha katika semina maalum kwa njia ya Zoom itakayokupa mbinu za kisasa za kumsaidia mtoto wako katika ulimwengu huu wa kidijitali unaobadilika kwa kasi.

MADA: "Jinsi ya kumwezesha mtoto wako kujifunza kwa kujitegemea bila usimamizi katika dunia ya kidijitali inayobadilika kwa kasi."

Join Zoom Meeting
https://us05web.zoom.us/j/81847737660?pwd=aeq0oIruqDtUtWbU0V0DaKWh66mVnh.1

Meeting ID: 818 4773 7660
Passcode: 1

04/05/2026

Safari imekuwa ndefu, jitihada zimekuwa nyingi 💯
Best of luck to all Form Six kwenye hatua hii muhimu 📚 📓
SoftTeacher tunawaombea mafanikio makubwa🥰😘

05/04/2026

Happy Easter from SoftTeacher📚
Give your child a smarter way to learn with SoftTeacher♥️

21/03/2026

Eid Mubarak 🌙✨
Keep learning and keep growing with softteacher📚👩‍🎓 Mubara Cecy Tarimo

09/03/2026

Je, mtoto wako anapata msaada wa masomo hata akiwa nyumbani? 📚

Kupitia SoftTeacher, mtoto anaweza kujifunza kwa urahisi kupitia simu au computer.

Mpe mtoto wako nafasi ya kufanya vizuri zaidi shuleni.

Tuma neno “INFO” kwenye comment nikuelekeze jinsi ya kumsajili mtoto.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Mbezi Magufuli-Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
123