Nebuye TV

Nebuye TV

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nebuye TV, Education, .

Tazama Playlist zetu NEBUYE TV!
📺 Bonyeza linki hapa chini kutazama 👉https://youtube.com/@nebuyetv?si=wDhb9v1p00KNDvHw

💚 NEBUYE TV – Tunakuza vijana kupitia kilimo na ufugaji!

05/06/2026

Je, Unataka Bata Wako Wakue Haraka? Usafi Ndio Siri Kubwa!

09/05/2026
08/05/2026

Bata Hawakui Haraka?

13/04/2026

pata vitabu kwa utajiri wa kilimo na ufugaji mdogo mdogo

06/04/2026

PATA VITABU BOMBA KWA BEI NAFUU SANA

🔥 FURSA KWA WAPENZI WA KILIMO NA UFUGAJI! 🌱🐔🐟

Je, unataka kuanza au kuboresha kilimo na ufugaji wako kwa maarifa sahihi? Pata EBOOK zenye mwongozo kamili kwa bei nafuu kabisa!

📚 Majina ya Vitabu:

1.Kilimo cha Bustani

2.Ufugaji Bora wa Samaki

3.Muongozo Kamili wa Ufugaji wa Bata

4.Siri ya Mafanikio katika Kilimo cha Nyanya

5.Siri ya Mafanikio katika Kilimo cha Mboga Mboga

6.Mjasiriamali Mali

7.Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili

8.Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kisasa

9.Biashara ya Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili

10.Uleaji wa Vifaranga

💰 Bei ya kila kitabu: TSH 3,000 tu

📲 Utatumiwa popote ulipo kupitia simu yako.

📞 Wasiliana nasi:0715332673 /0688947773

Anza safari yako ya mafanikio katika kilimo na ufugaji leo! 🌾🐓

18/03/2026

Magonjwa 10 Hatari Yanayoweza Kuua Kuku kwa Wingi
Ufugaji wa kuku una faida kubwa kiuchumi, lakini pia una changamoto kubwa ya magonjwa yanayoweza kuua kuku wengi kwa muda mfupi. Mfugaji anapaswa kuyatambua mapema ili kuchukua hatua za haraka.
Magonjwa hatari ni pamoja na:
Kideri (Newcastle Disease) – Huua kuku wengi kwa haraka sana, dalili ni kukohoa, kuharisha na kupooza.
Mdondo (Fowl Typhoid) – Husababisha homa kali, udhaifu na vifo vya ghafla.
Homa ya Mafua ya Ndege (Avian Influenza) – Ugonjwa hatari sana unaosambaa kwa kasi.
Gumboro (Infectious Bursal Disease) – Huathiri kinga ya kuku, hasa vifaranga.
Kokidiosisi (Coccidiosis) – Husababisha kuharisha damu na kudhoofika.
Mareks (Marek’s Disease) – Husababisha kupooza na vifo taratibu.
Ndui ya Kuku (Fowl Pox) – Husababisha vidonda kwenye ngozi na kupunguza uzalishaji.
Pullorum (White Diarrhea) – Hushambulia vifaranga na kusababisha vifo vingi.
Colibacillosis – Husababisha matatizo ya mfumo wa upumuaji na vifo.
Cholera ya Kuku (Fowl Cholera) – Husababisha vifo vya ghafla bila dalili nyingi.
Njia bora ya kujikinga ni kutoa chanjo kwa wakati, kudumisha usafi wa banda, kuwapa lishe bora, na kuzuia wageni au kuku wapya kuingia bila uchunguzi. Kinga ni bora kuliko tiba.
Hashtags:

13/03/2026

🔥 FURSA KWA WAPENZI WA KILIMO NA UFUGAJI! 🌱🐔🐟

Je, unataka kuanza au kuboresha kilimo na ufugaji wako kwa maarifa sahihi? Pata EBOOK zenye mwongozo kamili kwa bei nafuu kabisa!

📚 Majina ya Vitabu:

1.Kilimo cha Bustani

2.Ufugaji Bora wa Samaki

3.Muongozo Kamili wa Ufugaji wa Bata

4.Siri ya Mafanikio katika Kilimo cha Nyanya

5.Siri ya Mafanikio katika Kilimo cha Mboga Mboga

6.Mjasiriamali Mali

7.Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili

8.Mwongozo wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kisasa

9.Biashara ya Ufugaji Bora wa Kuku wa Asili

10.Uleaji wa Vifaranga

💰 Bei ya kila kitabu: TSH 3,000 tu

📲 Utatumiwa popote ulipo kupitia simu yako.

📞 Wasiliana nasi:0715332673 /0688947773

Anza safari yako ya mafanikio katika kilimo na ufugaji leo! 🌾🐓

25/02/2026

Roundworms (Minyoo ya Mviringo kwa Kuku)
Roundworms ni aina ya minyoo wanaoishi kwenye utumbo wa kuku na husababisha kuku kudhoofika na kupungua uzito. Maambukizi hutokea pale kuku wanapokula chakula au kunywa maji yaliyochafuliwa na mayai ya minyoo.
Dalili:
Kukonda na kupungua uzito
Manyoya kuwa hafifu
Ukuaji hafifu kwa vifaranga
Kupungua kwa utagaji mayai
Tiba:
Kuwapa kuku dawa za minyoo (deworming) kulingana na maelekezo ya mtaalamu wa mifugo
Kusafisha banda mara kwa mara
Kubadilisha takataka (litter) na kuhakikisha maji na chakula ni safi
Kufanya deworming kwa ratiba maalum (kila baada ya miezi 3–4)
Kuzuia ni bora kuliko tiba, hivyo zingatia usafi wa banda na ratiba ya dawa mara kwa mara ili kuku wako wawe na afya bora na uzalishaji mzuri.

Want your school to be the top-listed School/college?

Telephone