Ghomme Girls Secondary School

Ghomme Girls Secondary School

Share

Dealers: Sales, Promotions,Marketing Research cooperated with different Institute,Producers and others.

29/03/2024
Photos from Ghomme Girls Secondary School's post 22/08/2022
23/03/2020

Mungu Mwenyezi , Bwana wa Majeshi ni msikivu sana hasa pale Mkuu wa Nchi akitoa kilio chake na kuitoa mbele ya madhabahu ya Mungu na kuhamasisha watu wake kumlilia Mungu.
Ndivyo walivyofanya manabii wa kale akiwemo Ibrahimu, Musa, na Mfalme Daudi.
Namuunga mkono ℅ zote.
Tusiache kumuomba Mungu, tuendelee kuchua tahadhari k**a wataalam wa afya wanavyotuelekeza.

22/03/2020

Hakika tunaweza kuacha kumkimbilia Mungu atuhepushe na gonjwa hili na kuanza kukimbia hata ibada.
Mungu tuhepushie mbali na Gonjwa hili la Corona Virus.Mungu kakuongoza na kusema ubii huu wa ushindi ktk kuliondoa gonjwa hili la ajabu nchini kwetu na Dunia kwa ujumla.
©
27/03/2020.



20/03/2020

Hadi kututhibitishia mgonjwa anavyoendelea.
Hii imepunguza hofu na taharuki kwetu wananchi, Mh. Waziri Ummy Hongera, Mungu awaponye wagonjwa wote waligundulika na maambukizi ya Corona Virus na usisambae nchini kwetu.

18/03/2020

ILA UGONJWA HUU UMETOA SOMO KWA NCHI ZETU ZINAZOENDELEA.

30/12/2018

Fomu zipo kwa kidato cha I na V na wanaotaka kuhamia!

11/08/2018
Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam