Hit singeli sound
SABABU YA MAPENZI
TO THE WORLD 🌍
Mr dax
Don't quit your plan
Kam unamkubali BAD MARIOO
gonga like ���
29/03/2026
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Marehemu Mhe. William Lukuvi (Mb), ulivyofikishwa katika Kiwanja cha Ndege cha Iringa kwa ajili ya shughuli ya kuaga inayotarajiwa kufanyika kesho Machi 30 katikal Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Kanisa Kuu - Kihesa, Jimbo Katoliki Iringa.
Mwili huo umesafirishwa leo Machi 29, 2026 baada ya shughuli ya kuaga iliyofanyika katika Viwanja Karimjee jijini Dar es Salaam Machi 28, 2026.
Mara baada ya mwili huo kuagwa, utasafirishwa kuelekea katika Kijiji cha Idodi kilichopo Iringa Vijijini kwa ajili ya maziko yatakayofanyika Machi 31, 2026.
Mhe. Lukuvi alifariki dunia tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
21/03/2026
We wish all people EID MUBARAK
ENJOY YOUR DAY WITH FRIENDS AND FAMILY
19/03/2026
Bandari college of dar es salaam
Short course
Duration 4 weeks
19/03/2026
Tanzania Port Authority
Bandari college of dar
Terminal tractor operator's course
19/03/2026
TANZANIA PORTS AUTHORITY
BANDARI COLLEGE OF DAR ES SALAAM
VENNUE IN TANGA
17/03/2026
TANZANIA PORTS AUTHORITY
Bandari college of dar es salaam
Forklift operators course
Duration; 3 weeks
In dar es salaam
17/03/2026
Mobile crane operator's course
Bandari college of dar es salaam
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam