05/05/2026
Tunawatakia kidato cha sita wote kila la heri kwenye mitihani yenu ya mwisho.
JMT..! Your future, Our mission.
Contact us
+255745493945/ +255682599790
[email protected]
Education Consultant
Study Abroad agency
Equiries
Contact us
+255745493945/+255682399790
Email: [email protected]
05/05/2026
Tunawatakia kidato cha sita wote kila la heri kwenye mitihani yenu ya mwisho.
JMT..! Your future, Our mission.
Contact us
+255745493945/ +255682599790
[email protected]
03/05/2026
Timu yetu pia iliweza kufika hadi mkoani Simiyu katika wilaya ya Maswa kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya wasichana Maswa sekondari.
Tumeweza kujadiliana nao fursa za kusoma nje ya nchi na kuwatakia maandalizi mema ya mitihani yao ya kidato cha sita.
Tunawakaribisha wanafunzi na wazazi kuleta watoto wao tuweze kuwasaidia katika kupata fursa ya kusoma nje ya nchi.
JMT! Your future, Our mission!
Tupigie kupitia:
+255745493945/+255682599790
email: [email protected]
03/05/2026
Ni katika muendelezo wa kutembelea wanafunzi wa shule mbalimbali nchini, timu yetu ilipata fursa ya kutembelea na kuzungumza na wanafunzi wa shule ya secondary aldersgate iliyopo Babati
mkoani Manyara.
JMT global edu consultancy...! Your future, Our Mission!
Wasiliana nasi:
+25545493945
+255682599790
[email protected]
02/05/2026
Tulipata fursa ya kuwatembelea na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari Mwenge iliyopo mkoani Singida
Tumejadili masuala mbali mbali ya kielimu hususani fursa ya kusoma nje ya nchi baada ya kumaliza masomo yao ya Sekondari na faida zake
JMT Global Edu Consultancy inawatakia maandalizi mema ya mitahani ya kidato cha sita inayotarajiwa kuanza mapema wiki ijayo.
Tupigie:
+255745493945
+255682599790
[email protected]
01/05/2026
JMT Global Edu Consultancy tunawatakia Heri ya sikukuu ya wafanyakazi Duniani
Tunaendelea kuhakikisha tunakuwa daraja bora katika kutimiza ndoto za mwanao kusoma nje ya nchi..!
Tupigie sasa
+255745493945/+255682599790
[email protected]
26/04/2026
Team ya JMT global edu consultancy leo imepata fursa ya kukutana na kuzungumza na wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya sekondari MBUGWE iliyopo babati mkoani manyara
Kwenye mazungumzo hayo tumejadili kuhusu fursa mbalimbali za kusoma nje ya nchi(schorlaship) na kutoa mafunzo mbalimbali kuhusu kozi na faida za kusoma nje ya nchi
Pia tumetumia wakati huo kuwatakia maandalizi mema ya mitihani ya kidato cha sita inayotarajia kuanza mapema wiki ijayo.
JMT.!! Your future, Our mission!
Mawasiliano yetu:
+255745493945
+255682599790
[email protected]
25/04/2026
Leo tarehe 25/04/2026 JMT GLOBAL EDU CONSULTANCY, tumefanya mazungumzo na wanafunzi wa kidato cha sita wa shule ya sekondari MAMIRE, babati mkoa wa manyara.
Katika mazungumzo hayo tumetoa elimu kuhusu vyuo vikuu vya nje ya nchi na namna mwanafunzi anaweza kuchagua kozi(course) itakayomsaidia kwenye soko la elimu la kimataifa baada ya kuhitimu masomo.
Pia,tumewatakia heri wanafunzi wanapoelekea kwenye mitihani yao ya mwisho inayoanza hivi karibuni.
05/04/2026
Happy Easter to All believers around the World
JMT enterprsises company ltd
28/02/2026
🎓Dreaming of studying in India? JMT global edu consultancy we are here for you!💡
Apply now at PP Savani University for March intake !
Contact us: +255682399790/+255745493945
email: [email protected]
18/02/2026
well come at JMT Global EDU Consultancy
18/02/2026
wishing all our christian partners and students a blessed lent