Mwinjilisti Given Sanga

Mwinjilisti Given Sanga

Share

💎GOD'S SON⛱️
📖GOSPEL PREACHER & EVANGELIST📢
A husband of beautiful lady Neema Dudiyek
🌍A SEVENTH-DAY ADVENTIST CHURCH MEMBER🇹🇿

29/03/2026

Photos from Mwinjilisti Given Sanga's post 01/03/2026

NIMEKOMBOLEWA NA KUTUMWA KUTANGAZA HABARI NJEMA ZA WOKOVU KWA WATU WOTE.
Chukua Muda wako Leo soma kitabu cha Marko sura ya 5 msitari wa 1-20.
Utapata habari njema ya Mtu aliyekuwa anaishi makaburini baada ya kuponywa na Yesu, aliomba kuambatana na Yesu lakini Yesu alimwambia Aende nyumbani kwao kwa watu wa kwao kuhubiri yale ambayo ametendewa na Yesu.
Kimsingi alifanya hivyo akihubiri katika miji kumi (Dekapoli inamaanisha Miji kumi).
Kuna mengi ya khjjifnlzal katika habari njema hiyo.
Mimi na wewe ambaye umemjua Yesu wa Nazareti, tumeitwa ili tuwaite wengine kwa Yesu.
Swali je, Tangu umemjua Yesu Mpaka leo umewaleta wangapi kwa Yesu?

Photos from Mwinjilisti Given Sanga's post 01/03/2026

Hatimaye Uzinduzi wa ONEVOICE27 TRVF, umekamilika.
Sasa Kazi ya utume inaendelea.
Kushoto ni Paul Ndaro Mkuu wa Huduma, Kulia ni Gidion Mazengo Mkurugenzi wa Shule ya Sabato, na katikati ni Given Sanga Mzee wa Kanisa, Mji Mwema Sda Church Arusha.
Uzinduzi ulifanyikia Njiro Sda church Arusha, 28February2026.
Bwana Atupatie Roho Mtakatifu tumalize kazi.

20/02/2026
05/02/2026

RATIBA BADO IPO PALE PALE.

HABARI NJEMA INAENDELEA KUHUBIRIWA

Mshirikishe jirani yako habari njema hii iletayo wokovu.

17/12/2025

SOMA KWA MAKINI

17/12/2025

SIKILIZA KWA MAKINI

Want your school to be the top-listed School/college in Mbeya?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Mbeya