Tunatoa elimu ya awali na Msingi
Ni shule ya Serikali inapatikana katika kata ya MPELA wilaya ya TABORA MANISPAA mkoa wa TABORA
Mliman primary school inapatikana mkoa wa tabora wilaya kaliua kata ya IGWISI Kijiji Cha mpandamloka kitongoji Cha imalamawazo