Khidma TV

Khidma TV

Share

KHIDMA ONLINE TV, TUMEJIKITA KATIKA KUTOA ELIMU KWA KUFATA QUR'AN NA SUNNAH. MAWASILIANO 0752 950 350

10/06/2026

Furaha ya Sheikh Kishki Akiwa Ameketi na Makishki Wawili Chipukizi Katika Daawah MashaAllah.

10/06/2026

Siri ya Taasisi ya Peace Travel ni Huduma Nzuri Wanazotoa Kwa Mahujaji Ndio Zinawatangaza. Ndugu Sadik Mkurugenzi Mtendaji.

10/06/2026

Taasisi ya Peace Travel Haina Mfano Wamenilea Nikiwa Katika Kutekeleza Ibada ya Hijja K**a Mama Yao Wanangu Ndio Walio Fanikisha Safari Yangu Je Wewe Una Wazo la Kumpeleka Mazazi Wako Katika Ibada ya Hijja.

10/06/2026

MashaAllah Tabaraka Allah Katika Picha ni Masheikh Watano Wakiwa Pamoja Mola Awahifadhi Masheikh Wote wa Tanzania na Mola Awafungulie Milango ya Rizki Kwa Namna Wasio Tarajia.

Je Unaweza Kutuambia Majina Matatu ya Kila Sheikh Aliye Katika Picha Hiyo, Wanazuoni ni Warithi wa Mitume. Tuepuke Tabia Mbaya ya Kuwatukana Masheikh Ilio Enea Hivi Sasa Katika Mitandao ya Kijamii.

10/06/2026

Unasema Tiba Yako ni ya Kisunnah na Hujui Chochote Katika Elimu ya Tiba za Mtume Muhammad S.A.W - Marhum Sheikh Suleiman Imran Kilemile Mola Ampe Pepo ya Firdaus na Kaburi Lake Liwe Viwanja Katika Viwanja Vya Peponi.

09/06/2026

Sheikh Haruna Jumanne Kapama Arejea Kutoka Makkah Alikokwenda Kutekeleza Ibada ya Hijja Akiwaongoza Mahujaji wa Taasisi ya Peace Travel.

09/06/2026

Abdulkarim Amin 'Popat' Arejea Salama Kutoka Makkah Baada ya Kutekeleza Ibada ya Hajji Ampapo Alisafiri na Taasisi ya Peace Travel.

09/06/2026

Bakini Katika Madhehebu ya Sheikh Kishki ya Mke Moja Msikurupuke Katika Kuongeza Zaidi ya Mmoja Tuachene Mimi na Sheikh Walid.

09/06/2026

Kutoka Kiwanja Cha Ndege ni Mapokezi ya Mahujaji wa Peace Travel Hapa ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Hiyo Akituelezea Namna Mandalizi Yalivyokua Kabla na Leo Mapokezi ya Mahujaji.

09/06/2026

Fuga Nyuki Muislamu Nyumbani Kwako.

Want your school to be the top-listed School/college?

Telephone