Bainisha aina za vitenzi katika sentensi ifuatayo:
Mwalimu angali anashangaa kuwa Juma ni mwizi
Tujifunze Kiswahili
Mdarisi wa lugha ashirafu ya Kiswahili. Nashughulikia maswali yote ya somo la kiswahili From kimilili. went to kaptola secondary school
Big shout out to my new rising fans! Edwin Wafula
26/05/2026
Haya wapenzi tuchangamkie haya maswali
Yakinisha sentensi ifuatayo
Mwalimu hakuwafundisha wanafunzi wakaelewa
MBINU ZA UANDISHI
1. Uhaishaji/Tashihisi(personification)- ni mbinu ya kuvipa vitu visivyo na uhai sifa za kibinadamu.
Mbinu hii husaidia kujenga taswira. Mifano:
ya Tashihisi katika Sentensi:
"Nilipofika nyumbani jioni hiyo, kufuli lilikuwa likinikodolea macho." (Kufuli limepewa sifa ya binadamu ya kuona au kukodolea macho).
"Upepo mkali umevifukuza mawingu angani." (Upepo umepewa uwezo wa kufukuza k**a askari au mchungaji).
"Jua lilitutwanga kwa hasira." (Jua halina hisia za hasira, wala halina mikono ya kutwanga).
"Hofu iliniteka nyara na kuniacha nikiwa hoi." (Hofu imepewa uwezo wa binadamu wa kuteka).
19/05/2026
Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Celestine Makokha, Tracy Ajaa, Edwin Wafula, Yvonne Akisa, Faith Waswa, Philip Nalwali, Mark Annet, Filex Ekirapa, Avivoh Princes, Violet Wakhisi, Velmah Emmanuels, Kalos Aluku, Isabella Marisa
Tujifunze mbinu mbalimbali za lugha
Tambua mbinu ya lugha katika kifungu kifuatacho
Chumba kilikuwa kimepambwa kikapambika. Macho yangu yalitua kwenye pazia iliyoning'inia karibu na kitanda. Mkabala wa kitanda palikuwa na meza iliyowekelewa redio iliyocheza kwa sauti ya juu. Saa kubwa ya ukutani ilining'inia juu ya meza....
Geuza sentensi ifuatayo iwe katika use mi wa taarifa
"Nitasafiri leo jioni," Musa alisema.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Website
Address
131
Athi River