Mwalimu Chaka Tv

Mwalimu Chaka Tv

Share

Christians and Muslims have many things in common. They believe in the existence of the God of Abraham, We, therefore, need to come together and Dialogue

18/04/2026

LIPI JINA LA MUNGU

18/04/2026

Jiulize!!!. Anapotokea mtu mwenye Imani ya Kiislamu akasema yeye hasherehekei kumbukizi ya kufa na kufufuka kwa YESU KRISTO, anakuwa amejitendea haki yeye mwenyewe na Uislamu? Jibu ni Hapana. Sheikh Shafi Shomar Pango ni mmoja wa Waislamu wenye mtazamo k**a huu.
Karibu tuzisikilize hoja zake na jinsi Biblia, Quran, na Hadithi vinavyozijibu hoja zake hizi hoja.

05/03/2026

RIYAADHUS SWALIHIIN UKURASA 70

68. Imepokewa kutoka kwa Umar r.a kwamba Mtume amesema:
HATAULIZWA MTU SABANU YA KUMPIGA mkewe"

Riyad as-Salihin 68
'Umar (May Allah be pleased with him) reported that:
The Prophet (ﷺ) said, "No man shall be asked for the reason of beating his wife".

[Abu Dawud].

التاسع‏:‏ عن عمر رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال‏:‏ ‏ "‏لا يسأل الرجل فيم ضرب امرأته‏"‏ ‏(‏‏(‏رواه أبو دواد وغيره‏)‏‏)‏ ‏.‏
Reference : Riyad as-Salihin 68
In-book reference : Introduction, Hadith 68

24/02/2026

Luʿluʿ wa-al-Marjān1059. Hadithi ya Ibni Abbas (r.a) kuwa amesema, "Siku ya Alkhamisi, ni kitu gani kilitokea siku hiyo ya Alkhamisi? kistha, akalia, mpaka machozi yake yakarowesha changarawe, akasema, Mtume wa Alah akazidiwa na ugorjwa siku ya Alkhamisi na akasema, 'Nileteeni zana ża kuandikia niwaandikieni maandishi na hamtapotea baada ya maandishi hayo kabisa.' Watu wakatofautiana katika hilo na haifai kugombana mbele ya Mtume. Wakasema, 'Mtume wa Allah ni mgonjwa sana." Akasema, "Niacheni, nilicho nacho ni bora kuliko mhacho niitia." Wakati wa kufa kwake akausia mahbo matatu, "Watoeni Mushirikind katika kisiwa cha Bara Arabu na wapeni wajumbe (wageni) zawadi k**a nilivyokuwå nina wapa.' Na la tatu nimelisahau," (Bukhari, Hadithi Na. 288, Juzuu ya 4)

البخاري:٤٤٣١ – حَدَّثَنَا قُتَيْبَةُ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ عَنْ سُلَيْمَانَ الأَحْوَلِ عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ قَالَ قَالَ
ابْنُ عَبَّاسٍ يَوْمُ الْخَمِيسِ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ اشْتَدَّ بِرَسُولِ اللَّهِ ﷺ وَجَعُهُ فَقَالَ ائْتُونِي أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لَنْ تَضِلُّوا بَعْدَهُ أَبَدًا فَتَنَازَعُوا وَلاَ يَنْبَغِي عِنْدَ نَبِيٍّ تَنَازُعٌ فَقَالُوا مَا شَأْنُهُ أَهَجَرَ اسْتَفْهِمُوهُ فَذَهَبُوا يَرُدُّونَ عَلَيْهِ فَقَالَ دَعُونِي فَالَّذِي أَنَا فِيهِ خَيْرٌ مِمَّا تَدْعُونِي إِلَيْهِ وَأَوْصَاهُمْ بِثَلاَثٍ قَالَ أَخْرِجُوا الْمُشْرِكِينَ مِنْ جَزِيرَةِ الْعَرَبِ وَأَجِيزُوا الْوَفْدَ بِنَحْوِ مَا كُنْتُ أُجِيزُهُمْ وَسَكَتَ عَنِ الثَّالِثَةِ أَوْ قَالَ فَنَسِيتُهَا

– صحيح (البخاري)
§ بَابُ مَرَضِ النَّبِيِّ ﷺ... في كتاب المغازى

Luʿluʿ wa-al-Marjān1060. Hadithi ya Ibni Abbas (r.a) "Kilipokaribia kifo cha Mtume wa Allah (s.a.w) na ndani ya nyumba kulikuwa na wanaume, Mtume (s.a.w) akasema, 'Njooni niwaandikieni maandishi hamtapotea baada ya hayo.' Baadhi yao wakasema, Bila shaka Mtume wa Allah s.a.w) maumivu yamemzidi, na mnayo Qur'ani, kwa hiyo kinatutosha kitabu cha Allah. Walio ndani wakatofautiana na wakagombana; baadhi yao wakasema, 'Sogezeni awaandikie maandishi ambayo hamtapotea baada yake.' Na wengine wakasema yasiyokuwa hayo. Walipoongeza zogo na kutofautiana Mtume wa Allah (s.a.w) akasema, 'Ondokeni!' Ubaidallahi (Mpokezi wa hadithi hii) akasema, Ibnu Abbas alikuwa anasema, 'Msiba ulio mkubwa zaidi ni kile kilichozuwia kati ya Mtume wa Allah na kuwaandikia yale maandishi, kwa sababu ya tofauti Zao na zogo lao. lao." (Bukhari, Hadithi Na. 717, Juzuu ya 5)

مسلم:١٦٣٧a – حَدَّثَنَا سَعِيدُ بْنُ مَنْصُورٍ وَقُتَيْبَةُ بْنُ سَعِيدٍ وَأَبُو بَكْرِ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ وَعَمْرٌو النَّاقِدُ وَاللَّفْظُ لِسَعِيدٍ قَالُوا حَدَّثَنَا سُفْيَانُ عَنْ سُلَيْمَانَ الأَحْوَلِ عَنْ سَعِيدِ بْنِ جُبَيْرٍ قَالَ قَالَ ابْنُ عَبَّاسٍ يَوْمُ الْخَمِيسِ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ ثُمَّ بَكَى حَتَّى بَلَّ دَمْعُهُ الْحَصَى فَقُلْتُ يَا ابْنَ عَبَّاسٍ وَمَا يَوْمُ الْخَمِيسِ قَالَ
اشْتَدَّ بِرَسُولِ اللَّهِ ﷺ وَجَعُهُ فَقَالَ ائْتُونِي أَكْتُبْ لَكُمْ كِتَابًا لاَ تَضِلُّوا بَعْدِي فَتَنَازَعُوا وَمَا يَنْبَغِي عِنْدَ نَبِيٍّ تَنَازُعٌ وَقَالُوا مَا شَأْنُهُ أَهَجَرَ اسْتَفْهِمُوهُ قَالَ دَعُونِي فَالَّذِي أَنَا فِيهِ خَيْرٌ أُوصِيكُمْ بِثَلاَثٍ أَخْرِجُوا الْمُشْرِكِينَ مِنْ جَزِيرَةِ الْعَرَبِ وَأَجِيزُوا الْوَفْدَ بِنَحْوِ مَا كُنْتُ أُجِيزُهُمْ قَالَ وَسَكَتَ عَنِ الثَّالِثَةِ أَوْ قَالَهَا فَأُنْسِيتُهَا قَالَ أَبُو إِسْحَاقَ إِبْرَاهِيمُ حَدَّثَنَا الْحَسَنُ بْنُ بِشْرٍ قَالَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بِهَذَا الْحَدِيثِ

– صحيح (مسلم)
§ باب تَرْكِ الْوَصِيَّةِ... في كتاب الوصية

22/02/2026

Abdullah ibn Mas'ud alisimulia:

Harithah ibn Mudarrib alisema kwamba alikuja kwa Abdullah ibn Mas'ud na kumwambia: Hakuna uadui kati yangu na yeyote kati ya Waarabu. Nilipita msikiti wa Banu Hanifah. Wao (watu) walimwamini Musaylimah. Abdullah (ibn Mas'ud) aliwatuma. Waliletwa, na akawaomba watubu, isipokuwa Ibn an-Nawwahah. Akamwambia: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) akisema: K**a si kwamba hukuwa mjumbe, ningekukata kichwa. Lakini leo wewe si mjumbe. Kisha akaamuru Qarazah ibn Ka'b (amuue). Akamkata kichwa sokoni. Yeyote anayetaka kumuona Ibn an-Nawwahah akiuawa sokoni (anaweza kumuona).

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ كَثِيرٍ، أَخْبَرَنَا سُفْيَانُ، عَنْ أَبِي إِسْحَاقَ، عَنْ حَارِثَةَ بْنِ مُضَرِّبٍ، أَنَّهُ أَتَى عَبْدَ اللَّهِ فَقَالَ مَا بَيْنِي وَبَيْنَ أَحَدٍ مِنَ الْعَرَبِ حِنَةٌ وَإِنِّي مَرَرْتُ بِمَسْجِدٍ لِبَنِي حَنِيفَةَ فَإِذَا هُمْ يُؤْمِنُونَ بِمُسَيْلِمَةَ ‏.‏ فَأَرْسَلَ إِلَيْهِمْ عَبْدُ اللَّهِ فَجِيءَ بِهِمْ فَاسْتَتَابَهُمْ غَيْرَ ابْنِ النَّوَّاحَةِ قَالَ لَهُ سَمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ ‏ "‏ لَوْلاَ أَنَّكَ رَسُولٌ لَضَرَبْتُ عُنُقَكَ ‏"‏ ‏.‏ فَأَنْتَ الْيَوْمَ لَسْتَ بِرَسُولٍ فَأَمَرَ قَرَظَةَ بْنَ كَعْبٍ فَضَرَبَ عُنُقَهُ فِي السُّوقِ ثُمَّ قَالَ مَنْ أَرَادَ أَنْ يَنْظُرَ إِلَى ابْنِ النَّوَّاحَةِ قَتِيلاً بِالسُّوقِ ‏.‏
Grade: Sahih (Al-Albani) صحيح (الألباني) حكم :
Reference : Sunan Abi Dawud 2762
In-book reference : Book 15, Hadith 286
English translation : Book 14, Hadith 2756

14/01/2026

My dear Muslim brethren in Humanity, which QURAN do you read, and why have you preserved only that one? Are the others not QURAN? Among these, which one exactly did MUHAMMAD (peace be upon him) read? ARE THE SEVEN AHRUF similar to THE QIRAAT? If Muhammad received the QURAN in seven Ahruf, how is it that today there are TEN VERSIONS/QIRAAT? And how is it that in these 10 Qiraat, each has at least two transmitters whose QURAN differs from each other word for word, letter for letter, dot for dot? WHICH EXACTLY IS THE QURAN THAT MUHAMMAD s.a.w LEFT IN THE WORLD?

14/01/2026

Je ewe Muislamu ndugu yangu katika Adamu; Ni QURAN ipi unayosoma wewe na kwa nini una umeitunza hiyo moja tu? Kwani hizi zingine sio QURAN?
Kati ya hizi, Ipi hasa alisoma MUHAMMAD S.A.W?
JE AHRUF SABA NDIO QIRAAT ?
K**A muhammad alipokea QURAN kwa Ahruf saba, Iweje leo kuna VIRAA/ QIRAAT KUMI? Na je vipi katika hizi Qiraat 10 kila mmoja ina angalau wapokezi wawili ambao QURAN ZAO hasifanani neno kwa neno, herufi kwa herufi, Nukta kwa nukta?

IPI HASWA QURAN ALIYOACHA MUHAMMAD DUNIANI?

14/01/2026

IFAHAMU MISAHAFU YAANI QURAN TOFAUTI TOFAUTI ZILIZOPO DUNIANI
MSHAFU IMAM HAFS
QIRAAT MSHAFU Hafs ibn Sulayman al-Asadi al-Kufi
ambaye aliishi baina ya mwaka (709Bk- 796) yaani 90-180 A.H.) Ndio QURAN watu wengi wanajua na kuisoma hapa Afrika mashariki kwa kuwa ndiyo version Official ya Saudia na Misri tangu mwaka wa 1924. Imam Hafs alikuwa mwanafunzi wa Imam Asim ibn Abi Annajud al-Kufi aliyefariki mwaka 745 BK sawasawa na 127 AH
QURAN hii imetufikia kupitia njia tatu kuu;
upo MSHAFU HAFS AN ASIM SHATIBAYYAH
na MSHAHAFU HAFS AN ASIM MUNFASIL
na MUSHAF SHU'BAH AN ASIM (شعبة عن عاصم)
Hivyo, Mushaf ‘Āṣim Shāṭibiyyah inamaanisha:
Qur’ān iliyochapishwa ikifuata tilawa ya Imām ‘Āṣim,
kulingana na sheria zilizoandikwa katika al-Shāṭibiyyah,
kupitia msimulizi Ḥafṣ.
Shāṭibiyyah (الشاطبية)
Unaposikia Shāṭibiyyah inarejea shairi maarufu:
Ḥirz al-Amānī wa Wajh al-Tahānī
la Imām al-Shāṭibī (alifariki mwaka 1194BK yaani 590 AH)
“Mushaf Ḥafṣ ʿan ʿĀṣim – Munfaṣil” inarejelea nakala ya Qur’an iliyoandikwa kwa mujibu wa kanuni maalum ya urefu wa sauti (madd). Hapa kuna ufafanuzi:
1. Mushaf Nakala iliyoandikwa ya Qur’an.
2. Ḥafṣ ʿan ʿĀṣim (حفص عن عاصم)
Ḥafṣ: msomaji aliyepokea kisomo yaani (rawī)
ʿĀṣim: msomaji (qāriʾ)
Hii ndiyo version ya QURAN inayotumika sana duniani leo, ikiwa ni pamoja na Saudi Arabia, Afrika MASHARIKI, na sehemu nyingi za Asia.
3. Munfaṣil (المد المنفصل) Hii inahusu Madd Munfaṣil (urefu wa sauti uliotenganishwa).
Hufanyika pale: Herufi ya madd (ا، و، ي) iko mwishoni mwa neno moja Na hamzah (ء) iko mwanzoni mwa neno linalofuata
Mfano: بِمَا أُنزِلَ (bimā unzila)
4. Madd Munfaṣil ni mrefu kiasi gani katika Ḥafṣ ʿan ʿĀṣim?
Katika mushaf huu, desturi ya kawaida ni:
Hesabu 4 au 5 (ḥarakāt) (Baadhi ya wasomi pia wanakubali 2, lakini misahafu ming hutumia
Kwa maneno rahisi:
“Mushaf Ḥafṣ ʿan ʿĀṣim Munfaṣil” ni:
Qur’an iliyochapishwa kulingana na tilawa ya Ḥafṣ kutoka ʿĀṣim, ikiwa na alama za kunyoosha sauti zinazoonyesha Madd Munfaṣil (kawaida hesabu 4).
Shuʿbah ʿan ʿĀṣim (شعبة عن عاصم) ni moja ya riwaya zinazopokelewa kutoka kwa Imām ʿĀṣim ibn Abī al-Najūd.
Mnyororo wa isnād (sanad)
Imepokelewa na:
Shuʿbah ibn ʿAyyāsh → Shuʿbah ʿan ʿĀṣim
Ḥafṣ ibn Sulaymān → Ḥafṣ ʿan ʿĀṣim (ilinachapishwa sana leo)
HII ndiyo version ya MSAHAFU AMBAYO LEO WENGI WANAYO huku wakijua na kuamini kuwa ndio QURAN PEKEE DUNIANI KOTE
https://qiraathub.com/qiraat/asim-al-koofi

Want your school to be the top-listed School/college in Nairobi?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


24430
Nairobi
00502