21/03/2022
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye ufunguzi was wiki ya upandaji miti, wilaya ya Busega
Bulima Secondary School is a non-government school catering for students from the low income bracket.
MISSION: ERADICATE ALL FORMS OF IGNORANCE THROUGH AFFORDABLE BUT QUALITY EDUCATION.
21/03/2022
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye ufunguzi was wiki ya upandaji miti, wilaya ya Busega
15/02/2022
Shule ya sekondari BUlima, inapenda kuwataarifu kuwa, sasa ukarasa wake Facebook unatakuwa hewani kila siku za jumatatu mpka ijumaa kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Karibu tukuhudumie.
ss new era
**ata
14/01/2022
Wapendwa usajili Bado unaendelea kwa kidato Cha Kwanza karibuni sana
uliza chochote kuhusu bulima secondary tutakujibu
04/07/2021
MWONGOZO WA KUDHIBITI MAAMBUKIZI YA COVID-19 MASHULENI
MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA COVID-19 KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU, TOLEO LA PILI
Ndugu wapendwa k**a utakuwa na swali, ushauri na utuma kwenye ukurasa wetu hujibiwi kwa mda mwafaka tafadhari tumia namba zifuatazo: 0769070045/0764662624 au tuma email:[email protected] asanteni
29/03/2021
26/03/2021
fuatilia matangazo ya moja kwa moja
#TBCLIVE : JAMBO TANZANIA MAALUM MACHI 26, 2021 | SAA 12:00 - 2:00 ASUBUHI Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana Play Store (Android): https://bit...
Wimbo mzuri wa maombolezo