Juhaifa Makaka

Juhaifa Makaka

Share

Quran is life Quran is fun!

13/06/2026

03/06/2026

Shida sio adui yako sikuzote, wakati mwingine ni mwalimu anayekufumbua macho.

26/05/2026

Eid Mubarak ⭐️

25/05/2026

Siku ya ARAFAH ni nafasi yako ya kipekee kuumaliza mwaka 1447 ukiwa na baraka, msamaha na rehma za Allah.

13/05/2026

K**a Allah alikuruzuku ukiwa tumboni mwa mama yako mahali ambapo hukuwa na nguvu, mbinu, wala akili ya kutafuta.. unadhani atakusahau leo ukiwa na ulimi wa kuomba na mikono ya kufanya kazi?

Hofu ya rizki ni upungufu wa imaan. Tulia, fanya juhudi, na mtegemee Yule anayewalisha ndege bila kuwa na miadi ya Kazi wala maghala ya chakula.

08/05/2026

“Enyi mlio amini! Nikuonyesheni biashara itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu?”

13/04/2026

13/04/2026

Hongera sana rafiki yangu! Ni furaha kubwa kushuhudia ukikamilisha sehem kubwa na nzuri katika maisha yako. Allah aibariki ndoa yenu, awajaalie amani, upendo wa dhati, na vizazi vyema.

06/04/2026

Picha ya pamoja ya viongozi na wageni waalikwa wakati wa hafla maalum iliyoandaliwa na Ubalozi wa Ufalme wa Saudi Arabia jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hili linaakisi muendelezo wa ushirikiano na uhusiano mzuri uliopo kati ya mataifa haya mawili.

Want your school to be the top-listed School/college in Riyadh?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


King Saud University
Riyadh