Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School

Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School

Share

Mwalimu Anna English Medium Pre&Primary school, established with the main aim of providing better ed

18/12/2023

Mwaka mpya wa masomo wa 2024. Ndio unaanza hivi karibuni.

Je, una mtoto wa miaka mitatu na haujui wapi umpeleke. Suluhisho ni Mwalimu Anna Academy.

Pia zipo nafasi kwa madarasa yote za kuhamia na pia kuandikisha wanafunzi wa darasa la kwanza.

Karibu tumpatie mwanao elimu bora na sio kinyume chake. Tumejipanga kutoa elimu bora kwa mtoto wako.

Karibu mwaka mpya wa masomo 2024.

18/12/2023

Asante sana mzee ni matumaini yetu kuwa ushauri wako utafanyiwa kazi na waTanzania wengi. Viva Mwalimu Anna

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 11/11/2023

Tuko live, na Dogodogo graduation.
Sanaa na vipaji havijaachwa. K**a mwanao bado hayupo Mwl Anna hujachelewa milango iko wazi kwa ajili ya mwaka 2024.

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 11/11/2023

Mambo yanaendelea kwa namna hii, kwa wewe ambaye bado mtoto wako hujamuandikisha Mwl Anna. Amua sasa

11/11/2023

Mambo yako namna hii

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 11/11/2023

16th Dogodogo graduation

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 03/11/2023

Matukio yalikuwa mengi mno ya kujifunza masial mbalimbali ya historia ya nchi yetu na maendeleo yaliyofikiwa kwa wakati huu.
Kwakifupi tunatoa elimu darasani na kuiweka kimagendo zaidi ya nadharia.

Hongera kwa wazazi na walezi waliofanikisha hili. Hakika hamjakosea kutupatia watoto wenu kwa kuwaandaa na elimu yao ya msingi.

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 30/10/2023

Zinjibar tumeivamia k**a hivi

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 30/10/2023

We're in Zinjibar at the moment. Tunaendelea na matukio tukiwa huku Unguja, k**a ilivyo kawaida kuiweka miili sawa kabla ya ziara rasmi ya kimasomo

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 30/10/2023

On the way to Zanzibar study tour.
Tutawasimulia mambo ya huko yoote

14/10/2023

Happy Nyerere day!

Mwalimu Anna Schools wishes you the best commemotion of the father of our Nation.

Photos from Mwalimu Anna English Medium Pre & Primary School's post 09/09/2023

In God we trust.
Hawa hapa wakipatiwa neno kutoka kwa wazazi kabla ya kukaa kwenye mtihani wao wa kumalizia elimu ya msingi pale tarehe 13 na 14 mwezi huu.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mto Wa Mbu
Arusha