KLPA Nursery School

KLPA Nursery School

Share

DNPC NURSERY is the best school that provides quality education in both language Swahili n English..

We have the quality teachers who are ready to commit they knowledge to equip the kids

16/12/2021

Welcome to DNPC NURSERY
Tunawapokea watoto wa KG 1- KG 2
Miaka 3-6
Karibuni sana mwakani katika mwaka wa Masomo 2022.

18/07/2021

New term with a lot kids are going to be equipped with a lot of new things welcome parents

02/06/2021

Tunafunga shule kwa likizo ndefu kuanzia Tarehe 4/6/2021 hadi 5/7/2021... Karibuni kwa Muhula mpya siku iyo

Photos from KLPA Nursery School's post 11/12/2020

Kazi ni kazi pamoja tuijenge taifa la kesho
generation

06/12/2020

Tunafunga shule yetu Dec 18 na kujianda na maandalizi ya kufungua mwaka mpya wa masoma 2021. Mzazi na Mlezi unaombwa kumleta mwanao katika shule yetu ya chekechea ya KLPA - Dongobesh kwa Elimu bora. Tumewatoa watoto wengi wamejiunga na shule za msingi za Kiingereza na za kawaida. Unakaribishwa sana

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Arusha