16/04/2026
UCHAMUNGU UFUNGUO WA KILA JAMBO
Mbora wenu ni yule anayejifunza Qur_an kisha akaifundisha.
16/04/2026
UCHAMUNGU UFUNGUO WA KILA JAMBO
16/04/2026
Umuhimu wa kutafuta elimu
14/04/2026
Mapenzi ya kweli
12/04/2026
Ummu Salama anasimulia;
Ilikuwa nguo anayoipenda sana Mtume ni Kanzu.
(Abu Dawd na Tirmidhy )
Jifunze Quran
21/05/2025
🔰 SHARTI ZA SWALA-B
2. AKILI:
Hivyo haikubaliwi swala ya mwendawazimu kwa kuondokwa na talkifu, kwa kuwa yeye haelewi yamtokayo kinywani mwake. Na amesema Mtume ﷺ, k**a ilivyokuja katika hadithi ya 'Aliyy bin Abiy-Twalib (Allāh amridhie):
"رفع القلم عن ثلاثة، عن النائم حتى يستيقظ، وعن الصبي حتى يبلغ، وعن المجنون حتى يعقل".
"Imeinuliwa kalamu kutoka kwa watu watatu: Aliyelala mpaka aamke, mtoto mdogo mpaka abaleghe, mwendawazimu mpaka arudiwe na akili."
Ameisahihisha Shaykh Al-Albāniy (Allāh amrahamu), katika "Sahiih Abiy-Daud" (4403).
Pia wamekubalina Wanazuoni kwa "Ijmaai" kuwa miongoni mwa sharti za swala ni kuwa na akili. Amanukuu makubaliano hayo:
1. Ibn Rushd (Allāh amrahamu), katika "Bidāyatul-Mujtahid" (1/7).
2. Ibn Hazm Al-Andalusiy (Allāh amrahamu), katika "Marātibul-Ijmaai" (32).
3. Ibn Taymiyyah Al-Harrāniy (Allāh amrahamu), katika "Al-Majmuu" (11/191), akasema:
"أما المجنون الذي رفع عنه القلم فلا يصح شيئ من عباداته باتفاق العلماء".
"Ama mwendawazimu ambaye ameinuliwa kalamu, hakuna Ibada yake yoyote itakayokuwa sahihi, na hilo ni kwa makubaliano ya Wanazuoni. "
Ameandika:
Abū Ayman bin Akida Dhahiir Al-Shiiraaziy Al-Shāfi'iyy
كان الله له في الدارين.
01/05/2025
Chukua hatua.
29/04/2025
🛑Habari ya kuwa Rais wa Korea amesilimu ni za uongo.
Zipuuzeni anayedai kasilimu alete video akiwa *anatamka shahada*
انتشر على الفيس بوك ومواقع التواصل بل وبعض المواقع الاخبارية خبر يشير إلى قيام رئيس كوريا الشمالية إعلان اعتناقه الدين الإسلامي على التلفزيون الرسمي لدولته، إلا انه بعد تتبع مصادر الخبر تأكدنا أن هذا الخبر عار تماماً عن الصحة وهو مجرد فرقعه إعلانية.
ونما إلى علم موقع نجوم مصرية أن هذا الخبر قد تطور وانتشر ليس فقط على مواقع التواصل التي تفتقد إلى المصداقية، بل امتد إلى بعض المواقع المتضمنة في أخبار جوجل ويعتد بها كمصدر إخباري، لذا وجب التنويه.
وبالإضافة لذلك فإن الخبر قد يحتوي على إشارة تحاول تشويه الدين الإسلامي حيث يوضح الخبر الذي هو مجرد شائعه إلى أن رئيس كوريا الشمالية قد قال في حديث تلفزيوني: “أيها الشعب الكوري الشمالي العظيم،لقد من الله سبحانه و تعالى علي أن رأيت في حلمي شيخ عربي يتحدث معي العربية و كنت أفهمه ،حدثني عن دين كنت لا أعرفه فقط أسمع به كان طالما يصفونه بالأرهاب،حتى رزقني الله الاطلاع عليه،وجدته دين أبحث عنه ،كان هذا ما ينقصني،إني أعلن أمام الله و رسوله و أمامك أيهارالشعب أني أسلمت لله رب العالمين و سأقوم بأداء فريضة الحج، و أدعوكم للاطلاع على هذا الدين العظيم”.
Rejea: *https://elwajiha.com/7698/*