Kweli unapambana!
Lakini shida ni moja, unapokwama una muona nani?
Nani yupo tayari kujali hatua zako? Mimi toka nimepata kiongozi makini Leo nafanikiwa kwa kasi mara 10 ya mwanzo wakati nahangaika mwenyewe nikagundua hiyo ndio sababu kubwa inayo warudisha nyuma wengine.
Karibu uungane na program yetu mpya
Smart Team:Smart Family popote ulipo Tanzania!!
Kikubwa uwe na ndoto na iwe inakusukuma kutaka itumie.
Tuma neno Nina Ndoto utapewa maelekezo
+255 766 387 914.
Ahazi Ngessy
TUNAWASAIDIA WATU KUFIKIA NDOTO ZAO KWA KUWAONESHA FURSA NA KUWASHIKA MKONO KATIKA KUPIGANIA. .. Tuma neno NINA NDOTO Kwenda 0766 387 914.
08/08/2022
Nane nane 2022
Usipowekeza katika kujifunza,
utakuwa funza! Jiondoe kwenye hilo kundi.
YouTube kwetu kuna uchambuzi wa kina juu ya uchaguzi wa kuku wa Asili, kisasa na chotara. Kuna uchambuzi juu ya magonjwa,Lishe na chakula, Eneo la kufugia, juu ya Soko imara n.k
255 766 387 914
YOUTUBE jina KUKU UCHUMI
Subscribe Channel kisha tuma screen whatapps 0766 367 914 upewe kitabu cha bure!!
AFYA KIUSAFI!
Ni mazoea yasiyo na mahesabu..
Mtu ananawa mikono bila mkakati.. matokeo yake anajipalia mkaa bila kujua.
Niambie mwenyewe umegundua nini hapo?
Mimi nimejifunza kuwa Jamii inahitaji Elimu na msaada wa bidhaa elekezi za kutatua tatizo hili la kulimbikiza uchafu, hatimaye magonjwa yasiyoisha kwani hayasikii dawa kulingana na tabia endelevu.
Mimi nimeanza kubadilika na kuanza kuelimisha wengine, k**a nawe unataka kuungana nami nijuze tuifanye hii kazi kwani jamii inapotea.
+255 766 387 914
Una NDOTO ya kufanikiwa?
.
Umekwama wapi?
Umeanzisha wazo lako miaka inakwenda lakini huoni matokea unayo yatamani?
Umeshatafakari na kujua shida ni nini?
Wewe unaona nini juu ya kesho unayoitaka?
Mimi nakupa nafasi, ikiwa uko tayari nikuoneshe MPANGO KAZI ambao utakusaidia kujenga wazo lako na kuziishi ndoto zako.
Hii ni Ofa ya weekend
Piga sasa: 0766 387 914.
22/07/2022
[WAFUGAJI WA KUKU MPO!] Habari yenye kusisimua kwako. Ufugaji wa kuku bila gharama kwenye magonjwa.
Umekuwa na ndoto kubwa sana ya kufuga kuku kwa uhakika? Lakini umekosa mbinu za kudhibiti magonjwa? Basi leo ni SIKU KUU yako.
Nasema hivyo kwa sababu Ahazi Ngessy mbobezi wa ufugaji wa kuku kibiashara, kwa zaidi ya miaka 8 amekuwa akisaidia wafugaji wenye ndoto ya kufuga kibiashara.
Na wafugaji wenye ndoto ya kuwasaidia wafugaji wengine kupunguza vifo katika ufugaji. Sasa anakuletea mafunzo ya siku 5.
:
Imani Mtyeka ni mkazi wa Murieth-Arusha Mwanafunzi wetu 2017/2018,
“Kabla sijajua siri iliyofichwa kwenye vitunguu swaumu, tangawizi, alovera, mkaa n.k nilikuwa mtumwa wa maduka ya dawa.
Ilikuwa takribani kila wiki ni mimi na duka, ikilinganishwa na sasa k**a nikiulizwa kuwa ni lini nimekwenda kununua dawa kwa kweli nitakuambia sikumbuki (kwa muda wa zaidi ya mwaka sasa). Kinachonipeleka dukani ni chanjo tu ambazo hizo nawajibika kulingana na ratiba na umri wa kuku wangu.
Zaidi magonjwa ambayo yamekuwa gumzo kwangu, na yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara ni; Mafua ya kuku, magonjwa yote ya mabadiliko ya vinyesi (Kuhara damu, homa ya matumbo na kipindupindu), Ugonjwa wa Ndui, Ugonjwa wa kuvaa makoti, na Minyoo.
Haya yote nimeyamaliza kupitia mafunzo ya TIBA MBADALA ya mwl Ahazi Ngessy.”
K**a unataka kuwa miongoni mwa wanafunzi watakao ingia kujifunza bila gharama bofya hapa sasa hivi KUBOFYA HAPA: https://chat.whatsapp.com/Hic9kkpTGS84DiaAVo6WjT
kitu cha kufurahisha ni kwamba huhitaji kuwa na mtaji mkubwa sana kuweza kumudu gharama za kuendesha mradi wako. Unachotakiwa kuwa nacho ni UTAYARI wako wa kutimiza ndoto zako.
Katika darasa hili utafaidika na mambo yafuatayo:
Utajifunza mbinu za kudhibiti magonjwa sugu ya kuku kwa kutumia tiba mbadala zinazopatikana katika mazingira yako.
Utajifunza dalili za magonjwa sugu yote yanayo ua kuku banda lote.
Utapatiwa mafunzo bure ya namna ya kuendesha biashara yako ya mradi wa kuku.
Utauunganishwa kwenye timu ya wafugaji makini walio faidika na elimu hii.
K**a kweli unadhani unahitaji kupata hizo faida kupitia kuwa mwanafunzi wetu, bofya hapa kabla nafasi hizo hazija jaa!
SASA HIVI BONYEZA LINK HII: https://chat.whatsapp.com/Hic9kkpTGS84DiaAVo6WjT
ONYO!: Hatuta pokea mtu yeyote kuwa mwanafunzi baada ya nafasi hizi kujaa. K**a upo serious na unataka kweli kubadilisha maisha yako kupitia wazo la mradi wa kuku fuata maelekezo hayo.
16/06/2022
MAFUNZO BURE YA
UFUGAJI WA KUKU YANAANZA
LEO RASMI
.
uzoefu Wangu wa Miaka 8 Katika Mradi wa Kuku nimegundua wengi hawajui Nini Cha kufanya kabla ya kuanza Mradi wa Kuku, na hata walio Anza wanateseka na Changamoto huku hawajui wanazitatuaje!!-Ahazi Ngessy
Kwako ambaye umekuwa ukifikiri kuingia Katika Mradi wa Kuku na hujui unaanzaje?.. Au Kwako mfugaji mkongwe Lakini umekuwa ukifuga kwa hasara na hujui Nini Cha kufanya Katika Ufugaji Wako wa kuku.!!
.
Nimekuandalia Mafunzo Maalumu ya Bure kwa Njia ya Group la Whatapps.
Nahitaji Watu WALIO AMUA kubadili Maisha Yao kupitia Wazo la Mradi wa kuku..
.
K**a wewe ni miongoni mwao!!
Bofya link Hiyo ya whatapps kuingia Moja kwa moja kwa group!!
https://chat.whatsapp.com/GAFcb2Mt9KhBeid7qcEgAd
15/06/2022
MALKIA FREE ONLINE CLASS.
100 TU!!
Nimeagizwa kuwa kisiwepo kigezo chochote kinachoweza kumzuia Mtu kuingia Katika MAfunzo ya Ufugaji wa Kuku kibiashara Katika kundi la Whatapps la MALKIA.
.
Nikasema Mimi ni Nani nizuie?
Sasa kuanzia Leo SAA Mbili na nusu Usiku tutaanza Kujifunza tukilenga kutatua Changamoto hizi:
#1.Mbinu za Uleaji Vifaranga msimu Huu wa baridi, Pamoja na namna ya kutatua Changamoto Katika utagaji.
#2. Mbinu za Udhibiti wa Magonjwa.
Itakufanya uondoke Katika hasara.
#3. Lishe & Chakula-Uache kurundika chakula bandani, kudhibiti Gharama..
#4. Uchaguzi wa Mbegu Bora ya kuku-Uache kuokoteleza vimbegu vya ajabu ajabu mtaani.
#5. Mbinu za Masoko- Uache kulaliwa na madalali.
Unatakiwa ufanye haya!!
Bofya link ya Whatapps utaikuta huko chini...
Na. Baada ya hapo
Njoo inbox 0766 387 914 Tuma yafuatayo:
01.Jina lako
02.Mahali Ulipo/mkoa
03.Umewahi kunufaika na Mafunzo ya Mwl Ahazi/Kuku Uchumi?
04.K**a Namba 3 ni ndio basi tujuze, umenufaika kupitia wapi? K**a ni kwa Njia ya Vitabu, Facebook, Whatapps, YouTube, Darasa au Maonesho?
05.K**a hujanufaika, tujuze Nini Mategemeo yako ya kuingia Katika Darasa hili.
06.Tujuze K**a Tayari unafuga, una Kuku wangapi? Na ni Changamoto Gani Kubwa unakutana nayo?..
07.K**a hufugi tujuze, unadhani kwa nini? Na Nini kinakuogopesha kuingia?
Nb: Mafunzo haya yataenda kwa SiKu 14. Walengwa ni Watu 100 tu, wahi Nafasi hii, mjuze na Mwingine.
Bofya Link hii chini!!
MALKIA OFA FREE CLASS WhatsApp Group Invite
14/06/2022
OFA 67% VITABU Kisha unaingia kwenye MALKIA OFA 67% CLASS!!
.
Ahsante kwa Kuungana kumtakia siku ya kuzaliwa my lovely Traines... SiKu ya Jana June 13, 2022.
OFA HII MARA
MOJA KWA MWAKA..Inakuhusu.
program maalumu itakayoweza kusaidia wewe mfugaji wa Kuku unayekwama kwama labda Katika Magonjwa, Lishe, Banda, Mbegu, Masoko au Taarifa..
Sasa unachotakiwa kufanya ni kuchagua vitabu vitatu Kati ya 10 vilivyoandikwa na Mentor Ahazi Ngessy.. Kwa Tsh 9999.9 tu, badala ya Tsh 30,000/- Kisha bonyeza Kuingia kwenye group la Whatapps la Mafunzo ya ndani ya Mwezi Mmoja.
.
Kwa ni Nini hutakiwi kukosa ofa hii?..
#01. Utapoteza Tsh 20,001 kwa kununua vitabu Wakati Mwingine.
#02.Utapoteza Zaidi ya 50,000 Kwani Kuna SiKu utataka Ushauri... na kuandikiwa mpango Kazi.
-Ambapo wale wa ofa hii watapata bure.
#03. Utakosa MTANDAO wa wenzako wanao Fuga kubadilishana mawazo.
-Ambapo walio Katika ofa hii watapata.
Fanya hivi Sasa!!
9999.9 Kwenda 0766 387 914 Kisha tuma muamala Wako omba kutumiwa hivyo vitabu Kisha bonyeza Link... Tafadhari usibonyeze link K**a hujalipia...
.
LIPIA MALKIA OFA PUNGUZO 67% Kisha BONYEZA LINK HII...
https://chat.whatsapp.com/GAFcb2Mt9KhBeid7qcEgAd
ni nini kwako?...
.
Ni kile unacho kisubiri kitokee au nikile
unacho kipigania kitokee..? Ni vingapi umevisubiri vitokee, na vimetokea?....
Usisahahau haya k**a mtu mwenye Ndoto na unataka ziwe halisi...
ya vitabu badala ya Tsh 10,000 unapata zako kwa Tsh 5490
somo zima Youtube kwa jina la KUKU UCHUMI
wa bure kwa kupiga namba hii 0766387914
Tathmini juu ya Maendeleo ya Malengo yako...
.
Jifunze mengi, kwenye video ya dk 30 ambayo tayari ipo katika channel ya Kuku Uchumi. Zaidi usisahau kuungana na mkakati wa "Tuongee Fursa" kwa kutuma neno NINA NDOTO
kwenda 0766 387 914.
.
"Smart Team-Ndoto zetu, Maisha Yetu"
Join Us Now.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Website
Address
Arusha