Nemuviwa

Nemuviwa

Share

Neno la Mungu kwa Vijana na Watoto

06/12/2022
06/12/2022

Mwangalizi mkuu wa NEMUVIWA akigawa Vitabu vya kufundishia Vijana na Watoto Mkoani Lindi Nchini Tanzania.

06/12/2022

Hili ni tukio la Waalimu wa Vijana na Watoto kutoka Madhehebu mbalimbali Mkoani Arusha Jumamosi tarehe 03/12/2022 wakiwa wanagaiwa vitabu vya kufundishia Watoto Makanisani, Shuleni, Mtaani, kwenye vituo vya kulea Watoto yatima na maeneo mengine walipo Watoto baada ya Semina yao ya siku moja iliyoendeshwa na Viongozi wa Huduma ya NEMUVIWA Awaichi Sahara, Rev. Charles Mrema, Rev. Jerome Mallya na Mwl Elibariki Mollel kwenye Kanisa la TAG Calvary Temple Kilombero Arusha Mjini.

03/12/2022

NEMUVIWA . huduma ya Neno la Mungu kwa Vijana na Watoto

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Arusha
ARUSHA