05/04/2026
Mahafali ya 11 ya chuo chetu cha RIFT VALLEY iliyofanyika tarehe 28/3/2026 ikihusisha wahitimu katika fani za;
1.Tourism and tour guide
2.Hotel Management.
3.Nursery school teaching.
4.Hair dressing and beauty na
5.Tailoring
NB: Wanafunzi wote wamesoma kiingereza na kifaransa Bure pia chuoni kuna Free-wifi
15/09/2025
Ilikuwa siku ya Furaha sana chuoni (RIFT VALLEY SUPERIOR COLLEGE) kwenye Mahafali ya 9 tar.6/9/2025 Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe.Gloriana Kimath
16/04/2024
Leo tarehe 15/4/2024 Tumetembelewa chuoni na Kamati tendaji pamoja na Kamati ya utekelezaji ya UWT-MONDULI ,Ikiwa ni hatua za utekelezaji wa ufadhili wa masomo kwa vijana 100 wa jamii za kifugaji.
25/02/2024
Tunaandaa watumishi Bora katika fani za hotel, tour guide, tailoring and nursery teachers
02/02/2020
MATUKIO MUHIMU YA KITAALUMA CHUONI KWETU-(RISCO)