26/12/2023
Ni mwaka mwingine tena unaisha
K**a binadamu tumeweza kufurahishana na pia tumepqta nyakati za huzuni
K**a rafiki/ndugu Una kipi cha kunishauri kuelekea mwaka 2024.
Nb. Maneno yako ni ya mhimu sana
Karibu.........
13/07/2023
Mitaa imekuwa na vijana wasomi wengi sana hasa wa elimu ya juu ,
Nikiwa miongoni mwao naomba ku share mawazo nanyi
Je akitokea mdhamini akakupa 5 million to start any project , utafanya nini ???
Drop your views down dear elite
20/08/2022
Yes we care
We love our clients
Welcome Demax AGROVET
16/08/2022
Hello we're the Demax Agro and veterinary team we can provide you with service at any time
29/04/2020
Duniani kuna wendawazimu na walemavu wa akili .hawa wawili wanamatatizo lakini mwendawazimu ana nafuu , ushawah jiuliza mlemavu wa akili yukoje ??
22/04/2020
Kijana mwenzangu leo nkuambie