Je wewe ni mzazi/mlezi mwenye kiu ya mafanikio ya mtoto wako? Je, unatamani mwanao apate elimu bora na ujuzi utakaomsaidia kimaisha?
K**a jibu lako ni ndiyo, basi nina habari njema kwa ajili yako.
Goodwill Novellus Sekondari ni shule sahihi kwa maendeleo bora ya elimu ya mtoto wako.
Tunawaandaa watoto kuwa washika dau wakubwa wa maendeleo ya Taifa letu.
Tunafundisha masomo ya Sayansi (science) physics, chemistry, biology, Basic mathematics, masomo ya sanaa (arts) History, Civics, Geography, masomo ya biashara (bookkeeping na commerce) pamoja na masomo ya lugha (kiswahili, English, Kichina (Chinese) na kifaransa (French))
Watoto wanaandaliwa vizuri ili kupata wataalamu wengi zaidi mara baada ya kuhitimu shule. Watoto wanaelekezwa na kufundishwa kuwa wabunifu katika sekta za uzalishaji na biashara.
Tuna darasa maalumu la ujasiriamali kwa wanafunzi wote, ambapo wanafunzi wanajifunda kuunda bidhaa mbalimbali za viwandani na nyumbani. Pia katika darasa hili wanafunzi hujifunza mbinu mbalimbali za kuanzisha na kuendeleza biashara.
Karibuni sana, tuleteeni watoto nasi tutawalea na kuwajenga katika maadili na misingi imara kwa maendeleo ya Taifa letu.
Mtupigie simu kwa namba #0753121212
Sikiliza video hii hapa chini kuona wanafunzi wetu wakiongea kwa ufasaha lugha ya kichina.
Goodwill Novellus Secondary School
Goodwill Novellus Secondary School is located at Maji ya Chai in Arusha region
11/03/2023
Goodwill Novellus Sekondari ni shule sahihi kwa maendeleo bora ya elimu kwa mtoto wako.
Tunawaandaa watoto kuwa washika dau wakubwa wa maendeleo ya Taifa letu.
Tunafundisha masomo ya Sayansi (science) physics, chemistry, biology, Basic mathematics, masomo ya sanaa (arts) History, Civics, Geography, masomo ya biashara (bookkeeping na commerce) pamoja na masomo ya lugha (kiswahili, English, Kichina (Chinese) na kifaransa (French))
Watoto wanaaliwa vizuri ili kupata wataalamu wengi zaidi mara baada ya kuhitimu shule. Watoto wanaelekezwa na kufundishwa kuwa wabunifu katika sekta za uzalishaji na biashara.
Tuna darasa maalumu la ujasiriamali kwa wanafunzi wote, ambapo wanafunzi wanajifunda kuunda bidhaa mbalimbali za viwandani na nyumbani. Pia katika darasa hili wanafunzi hujifunza mbinu mbalimbali za kuanzisha na kuendeleza biashara.
Karibuni sana, tuleteeni watoto nasi tutawalea na kuwajenga katika maadili na misingi imara kwa maendeleo ya Taifa letu.
Mtupigie simu kwa namba 0753121212
Karibuni sana Goodwill Novellus Sekondari kwa elimu bora ya mwanao.
Goodwill Novellus Secondary School Goodwill Novellus Secondary School is located at Maji ya Chai in Arusha region
11/03/2023
Welcome at Goodwill Novellus Secondary School
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Kitefu , Maji Ya Chai
Arusha
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 17:00 |
| Tuesday | 07:30 - 17:00 |
| Wednesday | 07:30 - 17:00 |
| Thursday | 07:30 - 17:00 |
| Friday | 07:29 - 17:00 |
| Sunday | 09:30 - 17:00 |