30/07/2025
Sakina Secondary School
Our Vision is "To contribute to Education and Inspiration of a Child in Tanzania.
whereas our Mission is " To Become Our Excellent Centre For Quality and Appropriate Knowledge".
30/07/2025
TANGAZO! TANGAZO! ZANGAZO!
Shule yetu Sakina Sekondari inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha kwanza 2025 kwa wasichana na wavulana. Ada ni sawa na bure 1,500,000/= tsh tu kwa mwaka, na kwa wanafunzi wa kutwa (day) 800,000/=tu. Nafasi za kuhamia kidato cha 3 na 5 pia zinapatikana. Mlete Mwanao Sakina Secondary School Ujionee Tofauti. Karibuni Sana.
01/10/2022
Materuni water falls with our students enjoying geographical nature of or beautiful City. This is Sakina Secondary School. Homely welcome
23/09/2021
"MLETE BINTI YAKO SAKINA SEKONDARI UJIONEE TOFAUTI KINIDHAMU NA ELIMU BORA"
16/05/2021
Baadhi ya wanafunzi wetu siku ya jana tarehe 15/05/2021 walipofanya ziara fupi ya kimasomo katika Makumbusho ya Elimu Viumbe hai jijini hapa (Arusha). Nakujifunza vitu mbali kwa vitendo k**a vile;
-Historia ya chimbuko la binadamu wa kwanza
-Maisha ya ndege na wanyam mbali mbali
-Aina mbali mbali ya mimea
-Utamaduni wa nchi yetu
-Ujasiriamali, k**a vile ufugaji wa samaki, ndege, kilimo cha bustani nk
- Umuhimu wa kutunza mazingira na faida zake.
Hivyo watoto wetu wamejifunza vitu vingi mno kwa vitendo na wameifurahia ziara hii kwa ujumla. Sakina Sekondari tunatoa shukrani za pekee kwa uongozi mzima na wafanyakazi wote wa Makumbusho ya Elimu Viumbe Hai (Arusha). Asanteni
12/11/2020
"Kwa Maendeleo Bora ya Mwanao Kinidhamu na Kitaaluma, Tukabidhi Sakina Sekondari Arusha"
05/10/2020
Town trip with some of our students enjoying the beutifulness of Arusha city after exams.
Matembezi ya mjini na baaadhi ya wanafunzi wetu wakifurahia uzuri wa jiji la Arusha baada ya mitihani.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Sakina Street
Arusha
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 |