Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism"

Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism"

Share

PM College.... tunatoa mafunzo Kwa watu wote

22/02/2022

0757958215

07/12/2021
Photos from Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism"'s post 16/07/2021

0757958215

Photos from Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism"'s post 29/09/2020

Karbu Chuo Cha Ufundi "PM INSTITUTE of TOURISM"

Photos from Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism"'s post 12/07/2020

Uongozi wa Chuo Cha Ufundi Stadi "Pm Institute of Tourism" kilichopo Maji ya Chai- Arusha, Pia Chuo chetu kingine Kinapatikana MAHINA- MWANZA. Kinawatangazia nafasi za masomo kwa Mwaka 2020-2021, ngazi ya Cheti (Certificate) kwa muda wa mwaka 1 au 2. Chuo kimesajiliwa na Serikali kwa usajili no: IAE/OS/0654. Chuo Kinamazingira Bora ya Usomaji, na kina Walimu wazoefu wanaofundisha kwa vitendo zaidi, pia Ada zetu ni nafuu x**a na zinalipwa kwa awamu (kidogo kidogo). Masomo yatolewayo Kuanzia Sasa ni K**a ifuatavyo:- 1. Tourism Management and Tour guiges, 2. Tour Operation and Travel Agency, 3. International Hotel Management, 4. Business Studies, 5. Secretarial Skills, 6. Information and Communication technology (ICT), 7. Sales and Marketing, 8. Motor- Vehicle Driving, 9. Dressing and Beauty, 10. Computer in Office Application, 11. QT and PC, 12. Tailoring and Needle work, 13. International Languages:- English, French and German, 14. Primary and Secondary- Tuition Center. Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni pia tunaweza kukutumia kwa Whatsap. Mabweni (Hostel) zipo kwa wanaohitaji. Wahi Sasa ujiunge na Masomo, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:- 0757958215, 0785468200, 0624460816, 0718958215. Email address pminstituteoftourismgmail.com. WEKEZA KATIKA ELIMU. KARIBUNI SANA.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Arusha

Opening Hours

Monday 07:30 - 20:00
Saturday 07:30 - 16:00