14/07/2020
JIFUNZE KIINGEREZA UKIWA NYUMBANI
Je kiingereza kimekuwa tatizo kwako?
Je unataman kuendana na kasi ya mabadiliko dunian?
Je unatamani kuongea kiingereza?
Jibu lako tunalo,tumekuandalia mafunzo maalumu ya kiingereza kupitia simu yako ya mkononi kwa kutumia whatsapp.....
Mafunzo haya yatatolewa na walimu wazoefu watakaokufanya kuongea kiingereza kwa muda mfupi..
MUDA: Kila siku saa 3 usiku...
Gharama ni tsh 3000 kwa wiki na tsh 10000 kwa mwezi ( ni kias nafuu sana)
Ndani ya muda mfupi utaweza kuwasiliana kwa kiingereza na usipoweza tutakurudishia ada yako!!!!
tutumie meseji 0755841349 au 0622775238
Karibu tukuhudumie wahi nafasi maana wengi wanaitaka hii fursa