15/12/2023
wanaharakati na wadau mbalimbali wameudhuria katika maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani yaliyofanyika 2/12/2023 jijini dodoma, mji wa kiserikali yenye kauli mbiu TUUNGANE KUWEZESHA WATU WENYE ULEMAVU ILI KUFIKIA MALENGO ENDELEVU ,mgeni rasmi akiwa ni , waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa tanzania Mh,Mb Kassim Majaliwa Majaliwa
UNICEF Segal Family Foundation UNDP ,DCPO ,WHO.
29/08/2022
Saratani ya shingo ya kizazi ni kikwazo katika kufikia afya bora ya uzazi.
inalenga kumlinda mwanamke na msichana dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi.
Ungana nasi kuitaka ku 👉🏼twb.nz/tzpamoja4eacsrhbill
26/08/2022
Watu wenye ulemavu k**a watu wengine, wanahaki ya kupata taarifa sahihi na huduma ya afya ya uzazi kutoka kwa watoa huduma waliopata mafunzo kikamilifu.
Ungana nasi kuitaka ku 👉🏼twibbonize.com/tzpamoja4eacsrhbill/
22/07/2022
Finally the meeting has been held and ended with great success, this meeting to bring together the young directors was very good, how will young people be able to serve their young people to be the product of tomorrow, we thank the ICESA organization for very good preparations.
10/12/2021
Nini maana ya HAKI ZA BINADAMU KWA VIZIWI TANZANIA?
What is meaning of HUMAN RIGHTS FOR THE DEAF IN TANZANIA?
International Human Rights Day
10 December.
09/12/2021
DCPO Organization,we join the President of the Republic of Tanzania, Hon. Samia Hassan With All Tanzanians Celebrating 60 Years Of Tanganyika Independence ..
Shirika La Dcpo Na Wafanyakazi Wa dcpo,tunaungana Na Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania,Mhe. Samia Hassan Pamoja Na Watanzania Wote Kuadhimisha Miaka 60ya Uhuru Wa Tanganyika.