Abednego kavshe

Abednego kavshe

Share

Nawapenda sana

04/04/2023

๐Ÿ’”๐Ÿ’”I ask for advice
Hello I am a college student. In Mbeya, I was asking for advice, I was paid a fee by someone's husband. I love someone, but at home I lied that I have a sponsor, But his wife also doesn't know if I have a relationship with her husband, that is, I am at a crossroad, should I continue with him or should I find my own partner, but I am the only one who supports me at home, I am 21 years old and that person's husband He is 41 years old.
I ask for advice!

๐Ÿ’”๐Ÿ’”Naomba Ushauri
Hello Mimi ni mwanafunzi wa chuo. Mbeya nilikuwa naomba ushauri ninalipiwa ada na mume. Wa mtu nampenda ila nyumbani nilidanganya kuwa nina sponsor Ila mke wake pia hajui k**a nina mahusiano na mume wake yani nipo njia panda je niendelee kuwa nae au nitafute mchumba wangu mwenyewe ila mimi ndio tegemez nyumbani nina miaka 21 na huyo mume wa mtu ana miaka 41 . Naomba ushauri

04/04/2023

๐Ÿ’” Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu.
Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini na kumpeleka mjini Nairobi k**a mke wake ambapo aliamua kumsomesha mpaka chuo kikuu.

Alikuwa akimlipia karo na mahitaji mengine pamoja na kutuma pesa kwa mama mzazi wa binti huyo k**a msaada kutokana na familia hiyo kutokuwa na uwezo wa kumudu gharama za maisha.

Baada ya kuhitimu masomo yake, Christine alimwambia Patrick kuwa amechoka kuwa naye kwani ni mtu asiyekuwa na hadhi yoyote na hafai kuwa mpenzi wake hivyo ni vyema kila mtu afanye mambo yake.

"Nimepata mpenzi mwingine ambaye ananifaa sana pia ni Mkurugenzi wa Kampuni moja kubwa sana jijini Nairobi hivyo siwezi kuwa na wewe Patrick mtu usiyekuwa na future na ni daraja D ambalo ni dhaifu kwangu", alisema Christine.

Patrick hakuielewa kauli ya mpenzi wake, akaamua kwenda kijijini kwa mama yake na Christine kuomba msaada wa suluhu ili aweze kumuoa binti yao kwani alikuwa ametumia gharama kubwa mno kumsomesha.

Mama yake binti alijibu kuwa hawezi kumpangia mtoto wake mume wa kumuoa hivyo anapaswa aachwe ajiamulie yeye mwenyewe. Patrick hakukubali, akamtafuta dada yake Christine na kumwelezea hali halisi lakini alijibiwa kuwa hana hadhi ya kumiliki mwanamke aliyehitimu Chuo Kikuu hivyo atafute mwanamke wa level ya mgambo k**a yeye.

Aliondoka na kurudi nyumbani na kuchukua uamuzi mgumu wa kumuita Christine nyumbani kwa lengo la kuongea na kumaliza tofauti zao ili waachane kabisa, binti alienda nyumbani kwa Patrick mapema zaidi. Alifika na kumkuta Patrick amejihami kwa silaha, hawakuzungumza chochote zaidi ya kumkandamiza risasi 47 na zote zikapita mwilini mwa Christine hali iliyopelekea kifo chake papo hapo.
Nini maoni yako?

14/11/2020
19/10/2020

Ninamjua aliye mwamba
Aliyeniokoa ni Bwana Yesu

Askfocus -Abednego๐ŸŒบ

08/08/2019

If all I got is Jesus
I have got something more than Gold..more than silver..
Jesus is more than Gold..

08/07/2019

Beautiful woman is another man's plaything ๐Ÿ™†

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Abednegokavishe86@gmail. Com
Arusha
ASKFOCUS