Christian Ntevi

Christian Ntevi

Share

To make you to overcome your challenges

25/04/2026

Tunaprint MATANGAZO YA mikutano ya injili A3 KWA TSH 400 TU FULL COLOURED (yakiwa na rangi k**a hili tangazo) A4 tsh 200, ikiwa na rangi kabisa k**a hiyo kwenye tangazo hapo.

22/01/2026

ile pesa yako uliyoipata, kwa njia halali, najua unatenga mafungu, najua fungu la sadaka lipo, ushauri wangu: K**a ikatokea mambo yamekuwa magumu ukaanza kupunguza vitu, USIONDOE SADAKA,maana hiyo ndiyo chanzo cha hayo mengine (huitwa mbegu)

Biblia Habari Njema 01/12/2025

Yeremia 23:30-32
30. Kwa hiyo, mimi Mwenyezi-Mungu nitawashambulia manabii ambao wanaibiana maneno yangu. 31. Kweli mimi Mwenyezi-Mungu nasema, nitawashambulia manabii wanaoropoka maneno yao wenyewe na kusema, ‘Mwenyezi-Mungu asema’. 32. Naam, mimi Mwenyezi-Mungu nasema kuwa nitawashambulia manabii wanaotabiri ndoto zao za uongo kwa watu wangu, na kuwapotosha kwa uongo wao na kuropoka kwao. Mimi sikuwatuma wala kuwaamuru waende; kwa hiyo hawatawafaa watu hao. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Biblia Habari Njema

29/11/2025

Neno

29/11/2025

Moja kati ya maajabu ya MANA ni kwamba ikiokotwa ijumaa ikaliwa na kusazwa, kilichosazwa hakikuchacha, ila siku zingine mfano jtano kilichacha

29/11/2025

Sasa kuna kauli za heshima kutoka kwa viongozi, angarau angau !!!

Biblia Habari Njema 15/11/2025

Yeremia 5:3
3. Ee Mwenyezi-Mungu, wewe watafuta daima uaminifu. Umewatwanga, lakini hawakuona uchungu; umewateketeza, lakini walikataa kukosolewa. Wamezifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba; wamekataa kabisa kurudi kwako.

Biblia Habari Njema

15/11/2025

Unapoiambia serikali jambo fulani ilifanye na haikusikilizi, USIUMIE SANA KICHWA, wewe sio wa kwanza kutokusikilizwa kuna namna Mungu anaruhusu ili afanye jambo lake

Basi, wewe Yeremia utawaambia maneno haya yote, lakini wao hawatakusikiliza. Utawaita, lakini hawatakuitikia. 28Utawaambia; ‘Nyinyi ni taifa ambalo halikutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, wala kukubali kuwa na nidhamu. Kwenu uaminifu umekufa; umetoweka kabisa katika maneno yenu.’

Biblia Habari Njema 15/11/2025

Yeremia 9:2-3 Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, ambamo ningewaacha watu wangu na kwenda zangu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Wote ni watu wazinzi, ni genge la watu wahaini. Hupinda maneno yao k**a pinde; wameimarika kwa uongo na si kwa haki. Huendelea kutoka uovu hata uovu, wala hawanitambui mimi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Biblia Habari Njema

Biblia Habari Njema 14/11/2025

Yeremia 9:1-3
1. Laiti kichwa changu kingekuwa kisima cha maji, na macho yangekuwa chemchemi ya machozi ili nipate kulia mchana na usiku, kwa ajili ya watu wangu waliouawa! 2. Laiti ningekuwa na mahali pa kukaa jangwani, ambamo ningewaacha watu wangu na kwenda zangu.” Mwenyezi-Mungu asema: “Wote ni watu wazinzi, ni genge la watu wahaini. 3. Hupinda maneno yao k**a pinde; wameimarika kwa uongo na si kwa haki. Huendelea kutoka uovu hata uovu, wala hawanitambui mimi. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema

Biblia Habari Njema

25/10/2025

8Mataifa yote yanayoushambulia mji wa Yerusalemu
yatakuwa k**a mtu mwenye njaa anayeota anakula lakini aamkapo bado anaumwa na njaa!
Au mtu mwenye kiu anayeota kuwa anakunywa,
Lakini anaamka mdhaifu, bado ana kiu.

25/10/2025

8Meza zote zimetapakaa matapishi,
hakuna mahali popote palipo safi.
9Wao wananidhihaki na kuuliza:
“Huyu nabii ataka kumfundisha nani?
Je, anadhani atatueleza sisi ujumbe wake?
Je, sisi ni watoto wachanga
walioachishwa kunyonya juzijuzi?

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Arusha
0000