NLCC Vijana

NLCC Vijana

Share

"Ninyi ni mwanga wa ulimwengu! Mji uliojengwa juu ya mlima hauwezi kufichika" -Mathayo 5:14 NLCC youth in Arusha, Tanzania

20/09/2023
30/12/2022

Shalom shalom Karibu sana sana!

15/05/2022

Karibuni sana kwenye kongamano Hili.

09/10/2021

Karibu kwenye ibada ya jumapili Hapa New life City church Olosiva Arusha.
kuanzia saa tatu na Nusu asubuhi.

01/09/2018

Isaya 55:1-13

1 Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
2 Kwani kutoa fedha kwa ajili ya kitu ambacho si chakula? Na mapato yenu kwa kitu kisichoshibisha? Nisikilizeni kwa bidii, mle kilicho chema, Na kujifurahisha nafsi zenu kwa unono.
3 Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
4 Angalieni, nimemweka kuwa shahidi kwa kabila za watu; kuwa kiongozi na jemadari kwa kabila za watu.
5 Tazama, utaita taifa usilolijua, na taifa lisilokujua wewe litakukimbilia, kwa sababu ya Bwana, Mungu wako, na kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli; maana amekutukuza.
6 Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu;
7 Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie Bwana, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
8 Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana.
9 Kwa maana k**a vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
10 Maana k**a vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;
11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma.
12 Maana mtatoka kwa furaha, Mtaongozwa kwa amani; Mbele yenu milima na vilima vitatoa nyimbo; Na miti yote ya kondeni itapiga makofi.
13 Badala ya michongoma utamea msunobari, Na badala ya mibigili, mhadesi; Jambo hili litakuwa la kumpatia Bwana jina, Litakuwa ishara ya milele isiyokatiliwa mbali.

Photos from NLCC Vijana's post 11/08/2018

Some of our youth at school showing some warm ups. Proud of our youth!

27/07/2018

Karibuni vijana wote, juma pili saa Tatu na nusu!

Wabadalisha Dunia

Photos from Evangelist Dr. Egon Falk's post 26/07/2018

Mungu ni yeye Yule Jana, Leo, na hata milele!

Wabadalisha Dunia!

25/07/2018

Karibuni vijana wote, Juma pili saa Tatu na nusu 🇹🇿

❤️

Photos from NLCC Vijana's post 20/07/2018

A congratulations to 2 of our youth who graduated from YWAM today. Erick and Helena. We love you and we are proud of you!

Wabadalisha Dunia

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Kwa Iddi
Arusha