04/01/2013
COMING SOON!!!
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Arusha Secondary School 50th Anniversary (1962-2012), Education, Arusha.
Arusha Secondary School is one of the oldest and of high status school in the country,It was established in 1962 by Government for the purpose of widening secondary education in order to get experts in different areas.
04/01/2013
COMING SOON!!!
03/01/2013
MAADHIMISHO YA MIAKA 50 ARUSHA SEKONDARI. MHESHIMIWA EDWARD LOWASA ALIYESOMA ARUSHA SEKONDARI NA AMBAYE NI MWENYEKITI WA MAANDALIZI YA MIAKA 50 YA ARUSHA SEKONDARI ANAWATANGAZIA WALE WOTE WALIOSOMA,KUFANYA KAZI AU YEYOTE MWENYE MAPENZI MEMA NA SHULE,WAFIKE KWENYE MKUTANO MAALUM WA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO HAYO. MKUTANO UTAFANYIKA SHULENI TAREHE 19/01/2013 KUANZIA SAA TANO ASUBUHI.UKISOMA TANGAZO HILI MJULISHE NA MWINGINE.KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0757745774/0784606729/0713328578!!!!
28/11/2012
Hello Brothers and Sistaz!!!
We are in final stages of selecting Anniversary Logo....Please your comments...!!!By Goodluck(Alumni-UDSM (3RD YEAR)...
21/11/2012
50th Anniversary LOGO...say something!!!
KIKAO KINGINE MUHIMU SANA:tunaomaba wale wote tutakao weza, tufike siku ya Jmosi hii Arusha Sec kwaajili ya kikao cha maaandalizi saa 4 asubuhi.
Agenda
1. budgeti ya sherehe
2. Harambe ya 50 anniversary na mgeni rasmi ns mialiko yote
Tafadhali sambaza ujumbe!! for more information, +255754859283/713504457
28/09/2012
Canteen!!!
28/09/2012
Wallpaper-Arusha sec 2003-2006
28/09/2012
kekiiii-UKWATA 2009
28/09/2012
Gate!!!hapa wengi tumepita....
28/09/2012
Bluez
28/09/2012
Oldz!!!