Happylife College

Happylife College

Share

Our vision:
To be a premier source of education, training and economic development that will enable our students to successfully enter the workforce.

08/01/2023

Mwaka huu ni wa Baraka.

Karibu sana Happylife college

16/08/2022

Welcome for September intake.
Diploma course and Certificate course

13/06/2022

AFISA MASOKO ANAHITAJIKA HARAKA.
Mshara kuanzia 400,000

SIFA:
Awe na muonekano mzuri na ajue kujieleza.
Awe tayari kusafiri kutoka eneo moja kwenda lingine.
Awe na nidham ya hali ya juu.
Awe na sim janja. Smart phone.

MAHALI PA KAZI NI ARUSHA.

PIGA SIMU 0768 043 682

23/01/2022

Serves visitors by greeting, welcoming, and directing them appropriately.
Notifies company personnel of visitor arrival.
Maintains security and telecommunications system.
Informs visitors by answering or referring inquiries.
Directs visitors by maintaining employee and department directories.
Maintains security by following procedures, monitoring logbook, and issuing visitor badges.
Operates telecommunication system by following manufacturer’s instructions for house phone and console operation.
Keeps a safe and clean reception area by complying with procedures, rules, and regulations.
Supports continuity among work teams by documenting and communicating actions, irregularities, and continuing needs.
Contributes to team effort by accomplishing related results as needed.

20/01/2022
18/01/2022

Habarin wazazi na walezi, watoto huwa katika wakati mgumu sana baada ya matokeo kutoka... Ukiwa k**a mzazi, pesa uliyotoa miaka 4 ni kweli inauma sana na hasa ukifikiria ulivyojinyima kulipa ada..

Usichukue maamuzi ya kumpiga mtoto au kumsemea maneno mabaya. Hii hupelekea watoto wengine kutoroka nyumbani au kuchukua maamuzi ya kujiua. Hiyo ni hasara kubwa sana kwa wazazi. Nawasihi sana omba Mungu kwanza baada ya kupata majibu/matokeo mabaya ya mtihani wa mtoto wako, kisha yakubali na mshukuru Mungu..

Nimegundua kuwa watoto hupitia wakati mgumu sana wakati wa mItihani. Kuna maroho ya kipepo huzunguka kuharibu hatima za watoto wetu. Usimlaumu mtoto hujui alikutana na nini katika chumba cha mtihani. Wengine hupata hofu ya ajabu hata kupoteza ujasiri wa kujibu mitihani, mwingine anasahau, na majibu anayajua na mwingine anaugua ghafla katikati ya mtihani.

Nawashauri wazazi.
1. Mtie moyo mtoto wako kumwondolea maumivu ya kufeli. Usionyeshe ukali, hasira, lawama au kejeli kwani inaweza kumsababisha kujiua, kuingia kwenye madawa ya kulevya, bangi na tabia mbaya akidhani anapoza machungu kumbe ndo anaharibu na kupotea zaidi..

2. Mwambie maneno ya matumaini kuwa anaweza kufanya vizuri tena. Kwa kipindi hiki usimruhusu kwenda kijijini au kwa ndugu wengine kwa ajili ya kupoteza mawazo.. No kaa naye mpaka hapo baadaye. Wengine huwapeleka kwa bibi. Hapana usijaribu kufanya hilo kosa..

3. Mwambie unampenda sana na muonyeshe kuwa imetokea haikuwa malengo yake.. Muonyeshe kuwa anaweza tena..

4. MUonyeshe uko tayari kumsaidia ili asonge mbele hata k**a kwa wakati huo unaona huna pesa Kabisa...

Usionyeshe kumkatia tamaa au haupo tayari kuendelea kupoteza pesa zako tena..

5. Muombee na umkumbatie baada ya maombi. Endelea kumwombea tena na tena.
6. Kwa siku kadhaa muonyeshe upendo mkubwa sana ikiwezekana mletee hata zawadi.. Usikubali kumpoteza mtoto wako sababu ya matokeo maana matokeo anaweza kuyatafuta tena, ila mtoto akipotea kwa kujiua hutampata tena.

Happylife iko tarayari kushirikiana na wewe kumpa muelekeo mtoto wako tupigie. #0768043682



12/01/2022

Karibu Happylife College Tumeanza kupokea wanafunzi wapya kwa kozi fupi na Ndefu.





24/12/2021
03/11/2021

Captions 🤣🤣🤣🤣🤣

24/10/2021

Hello,hello, habari njema kwa watu wote HAPPYLIFE COLLEGE NI CHUO KINACHOTOA COURSE ZIFUATAZO ;
HOTEL MANAGEMENT
TOURGUIDE(One year)
TOURGUIDE NVA level 3 (2years)
COMPUTER APPLICATION
FOOD PRODUCTION NVA level 3(2years)
DIPLOMA IN ENGLISH MEDIUM (ECDE)
CERTIFICATE IN ENGLISH MEDIUM (ECDE)
Chuo chetu kina WAALIMU wenye uweledi na uzoefu wa hali ya juu unasubiri nini kumleta mwanao
Wewe kijana unasubiri nini wakati ni huu chukua hatua
Tuko tayari kukuhudumia kukutengenezea future ya kesho
HAPPYLIFE COLLEGE the character for success
Jitahidi kuwahi

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kaloleni, Said Kondo Building 4th Floor, Near Kaloleni Pentecoste Church
Arusha
2429

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 00:30