Health Promotion and Education

Health Promotion and Education

Share

Elimu ya Afya

Photos from Health Promotion and Education's post 24/06/2025
Photos from Health Promotion and Education's post 23/06/2025

🛑ARUSHA,TANZANIA.
SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

Baadhi ya wagonjwa waliojitokeza kupata huduma za afya kwenye Kambi ya Madaktari Bingwa na Wabobezi Mkoa wa Arusha, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha mapema leo Juni 23, 2025

Ikiwa ni siku ya kwanza ya Kampeni ya siku saba iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha chini ya Uongozi shupavu wa Mhe. Paul Christian Makonda kwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya afya, wakazi wa mkoa huo na mikoa jirani wamejitokeza kupata huduma hizo za afya zinazotolewa bure.

Lengo la Kambi ya Matibabu haya ni kuwapa wananchi fursa ya kupata elimu ya afya, vipimo vya magonjwa mbalimbali na ushauri wa kitaalam ili kupata huduma stahiki za tiba na kinga ambapo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha inashirikiana na sekta binafsi, Hospitali na Taasisi mbalimbali za Matibabu.

Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Zanzibar
Arusha city council
Elimu Ya Afya

05/06/2025

Halmashauri ya Jiji la Arusha inawakaribisha wananchi na wakazi wote wa jiji la Arusha kupima afya zao katika vituo vyetu vya afya lakini pia wazizi na walezi kuwapeleke watoto wao katika vituo vyetu vya Afya ili wapatiwe matone ya vitamin A na Dawa za minyoo Tumbo.
LISHE BORA, AFYA TELE, UCHUMI IMARA, ARUSHA MBELE
Wizara ya Afya Tanzania
Wizara ya Afya Zanzibar
Arusha city council
- Primary Conference Hashtag
- CHIA Innovation Award
- Youth Capacity Building
- THS health workers awards
- THS exhibitions

Photos from Health Promotion and Education's post 06/10/2024

FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO FIGO.

Wakati wa kufanya dialysis, Damu hutolewa Mwilini kupitia bomba jekundu,

Hupitishwa kwenye machine ya dialysis, husafishwa uchafu wote wa shuhuli za mwili nakisha kuingizwa tena ndani ya mwili kupitia bomba la blue,

Utaratibu huu hurudiwa kwa masaa 4 wakati mgonjwa akiwa ametulia kitandani.

Utaratibu huo unafanywa mara 3 kwa wiki, nisawa na mara 12 kwa mwezi Kwa mwaka mara 144,

NA
Kila wakati inachukuwa masaa 4, ambayo ni sawa na masaa 48 kwa mwezi, kwa mwaka nisawa na masaa 576,

Kwa wale ambao hawajaathirika, mchakato huu wa kusafisha damu unafanywa na figo moja kwa moja, Mara 36 kila siku,

Ndani ya mwili wako bila jitihada au usumbufu wowote, Hata wakati unaendelea na shughuli zako.

NB: Inawezekana wengi Tukawa Tunachukulia Uzima na Afya Zetu for Granted,

Lakini k**a Ukipata Muda wa Kutembelea Wodi hata 2 Hospitali Ndio Utaona Uthamani na Umuhimu wa Kuitunza na Kuithamini Afya Yako!

Figo nj moja ya ogan muhimu zaidi kwa wanadamu, watu wagonjwa wa Figo wanateseka san kuliko unavyo Dhani au unavo waona watu tulinde Figo zetu wa kunywa maji ya kutosha na kuacha kunywa pombe kupita kiasi.

Kuwa Salama Linda Figo

+Acha pombe Kali
+kunywa maji mengi
+Tibu Magonjwa ya mfumo wa mkojo
+epuka kisukari
+control blood pressure
+Linda Afya ya ini
+epuka unene Kupita kiasi
+Fanya Mazoezi iwe kipaumbele
FIGO TUILINDE TUISHI SALAMA📌Kuwa Salama Linda Figo

USIJISAHAU, JALI SANA NA TUNZA AFYA YAKO...!🫵

Wizara ya Afya Tanzania



Arusha city council

Photos from Health Promotion and Education's post 13/11/2023

Nimeona Inauwa Tujikinge tuwakinge watoto

Photos from Health Promotion and Education's post 20/09/2023

MSONGO WA MAWAZO (STRESS) HUSABABISHA ATAHRI MBALIMBALI KATIKA MAISHA K**A VILE

1. KIAFYA
▪️Vidonda vya tumbo
▪️Kizunguzungu
▪️Kichwa kuuma
▪️Kuumwa na meno na hizi
▪️Kaharisha
▪️Magonjwa ya moyo
▪️Mzunguko wa hedhi kubadilika (kuwahi au kucherewa)
▪️Nguvu za kiume kupungua
nk
2. KIAKILI
▪️Kushindwa kufikiria kwa umakini
▪️Kushindwa kufanya maamuzi sahihi
▪️Kupoteza kumbukumbu
▪️Kuwa na mawazo hasi nk.

3. KITABIA
▪️Kuwa na mihemko isyitabirika
▪️Kujitenga
▪️Kugombana na kila mtu
▪️Kiwango cha kazi kushuka/kutega kazini

Jifunze zaidi kupitia video hii full ipo YouTube na utapata elimu yenye manufaa na faida kubwa kwako👇🏼

https://youtu.be/Eb-GcVGMCG4?si=cWJ84-zQSCyUldaX

Mental Health Tanzania
Wizara ya Afya Tanzania
Afyainfo
Arusha city council

13/09/2023

Tafiti zinaonesha kuwa: Watu wanaofikiria kujaribu kujiua wana uwezekano mkubwa wa kukatisha uhai wao

Photos from LISHE BORA KENYA's post 13/09/2023
Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Arusha