01/01/2018
Karibu karibu karibu Trinity mlete mwanao kwa elimu bora.
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Trinity Daycare Centre, Private School, Kimandolu, Arusha.
01/01/2018
Karibu karibu karibu Trinity mlete mwanao kwa elimu bora.
05/12/2017
Panga na Trinity kwa kumleta mwanao January 2018 Ofisi zipo wazi kwa ufafanuzi na kujua mazingira pia.
Tunauwezo kwa kumhudumia mwanao kielimu,kiafya na kiutamaduni.Piga 0767353540 kwa maelezo na.maelekezo zaidi.
Need a day care and nursery? Please dial 0767353540 or 0743404012 for more details.
21/09/2017
Zawadi pekee ya kumpatia mwanao ni ELIMU,ELIMU,ELIMU.
Si pengine karibu trinity kutana na walimu waliobobea katika malezi mema ya watoto na ELIMU bora.
Tuna madarasa hadi Preunit.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo, 0743404012 au 0752291664 kwa maelekezo zaidi.
11/07/2017
Time to Learn
Tunawatakia Siku njema
Je unapenda mwanao apate malezi na elimu nzuri badala ya kuteseka nyumbani na dada wa kazi?
Kwa mara nyingine tena Trinity Day Care inapenda kukukaribisha kumleta wanao shule ili ajengewe msingi mzuri wa kujiandaa kuingia darasa la kwanza.
Kwa maelezo zaidi piga namba zifuatazo 0752291664 au 0743404012
Mshirikishe na Jirani Yako
Greetings from Trinity Day Care centre and Nursery School.
We wish you a Happy Easter. God bless you.
Happy Sundays to you all.
Karibuni trinity.
Trinity Daycare School inakukaribisha mzazi au mlezi kumwandikisha mtoto kwa muhula mpya unaoanza mapema January 2017.
Nikutoe hofu mzazi mwanao anapokuja Trinity anapata mafunzo kutokana na umri alionao na sio michezo pekee tunamwandaa mwanao kujiunga na primary.
Mlete mwanao kwa “Bibi trinity”
Kwa maelezo zaidi piga namba zifuatazo:
0767353540 AU 0743404012
By BIBI TRINITY
Hi morning all Wapendwa Trinity Day care and nursery school tunakaribia kufunga shule kwa ajili ya sikukuu zilizopo mbele yetu.Tunapenda kuwa karibisha kuandikisha mwanao ili aweze kuanza muhula mpya kuanzia mwakani .tuna classes k**a baby class,nursery and preunit.mlete mwanao aweze kuwa na mwanzo mzuri na msingi mzuri wa elimu.Adda ni nafuu na walimu wazuri pamoja na mazingira.karibuni sana.
Wasiliana na namba zifuatazo ongea na bibi trinity 0767353540 au 0743404012.
Habari ya Jumapili wapendwa marafiki na ndugu wa trinity day care.
Tunapenda kuwatangazia wrote kuwa muhula mwingine unaanza siku ya kesho jumatatu ya tarehe 2.5.2016.
Hivyo ukiwa k**a mzazi tunakukaribisha kumleta mwanao katika Shule yetu yenye malezi mazuri na walimu kwenye uzoefu na kwa bei nafuu.
Usiisite kupiga 0743404012 au 0767353540 kwa Maulizo na maelekezo zaidi.
| Monday | 07:30 - 17:30 |
| Friday | 07:30 - 17:30 |