24/12/2025
Fanikiwa Journalism School - FJS
Fanikiwa Journalism School is a private educational institution based in Arusha (kwa Mrombo) offering professional training in Journalism
24/12/2025
29/01/2025
Mtangazaji nguri wa ITV, Kevin Novat akizungumza na wanachuo wa fani ya Utangazaji wa Redio na TV wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji cha Fanikiwa Journalism School - FJS leo, wakati wa uzinduzi wa kitengo cha Habari na Mawasiliano ya Umma cha Chuo hiki kinachosimamiwa na kuendesha na wanachuo. Kelvin ni mmoja wa wahitimu Maveterani wa chuo hiki Bingwa kilichoko Arusha kwa Mrombo.
10/08/2024
Kijana wetu Dimo Msimbe, Mhitimu wa Fanikiwa Journalism School - FJS , ndiye Meneja wa Redio Shakina FM Kigoma. Dimo pia ni Mchungaji na mtaalam wa mitandao ya kijamii.
23/01/2024
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Arusha
POBOX15689,ARUSHATANZANIA
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 18:00 |
| Tuesday | 07:00 - 18:00 |
| Wednesday | 07:00 - 18:00 |
| Thursday | 07:00 - 18:00 |
| Friday | 07:00 - 18:00 |
| Saturday | 07:00 - 18:00 |