27/03/2022
*USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA WA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT)-2022 UNAENDELEA HADI TAREHE 31/03/2022.*
hii taarifa iwafikie ndugu jamaa na marafiki ambao wana mpango wa kufanya mtihani wa F4 na QT mwaka huu 2022. Ifikapo tarehe tajwa hapo juu usajili utafungwa rasmi hadi mwakani tena. ππΌππΌππΌ
Ilboru Academic Excellence I.A.E
Send a message to learn more
20/01/2022
HABARI NJEMA KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE 2021
Ilboru Academic Excellence Centre inawatangazia wazazi na wahitimu wote wa kidato cha nne kuwa Masomo kwa ajili ya Kidato cha tano yameanza rasmi.
Kigezo ni mhitimu awe na C tatu katika masomo yoyote aliyofanya isipokuwa masomo ya dini.
Pia kuna masomo kwa ajili ya Pre Form Five kwa tahasusi zote.
Kwa wanaohitaji kurudia mtihani wa kidato cha nne pamoja na mtihani wa maarifa QT wanakaribishwa na masomo yameshaanza.
Tupo Kaloleni Arusha ndani ya shule ya msingi Makumbusho...
Wasiliana nasi kwa namba
0752 815647
0782 720622
0621 267538
ILBORU ACADEMIC EXCELENCE, EDUCATION IS POWER
Ilboru Academic Excellence I.A.E
Send a message to learn more
08/07/2021
Habari,
K**a una mwanafunzi na hajapandiwa shule kwaajiki ya kidato cha tano.
Usiumize kichwa. Mlete Ilboru Academic Excellence I.A.E atasoma tahasusi anayoitaka kwa mwaka mmoja tu.
Vigezo awe na C tatu tu.
Tunapatikana Kaloleni Arusha
Tupigie kwa namba 0752815647.
Ilboru Academic Excellence..
Education is Power
23/11/2020
Uongozi, walimu na wanafunzi wa Kidato cha sita Ilboru Academic Excellence I.A.E unawatakia kila la heri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yakuhitimu kidato cha nne (CSEE) na Mtihani wa Maarifa (QT). Mungu awape afya njema na waweze kufanya mitihani yao kwa weledi...
30/06/2019
Je umemaliza kidato cha nne na Hukuchaguliwa kuendelea na kidato cha tano kwa shule za serikali?! Je unatamani kusoma masomo ya kidato cha tano na sita lakini huna muda wa kutosha?! Je umechaguliwa chuo cha sheria au unajiandaa kufanya mitihani kwa ajili ya kupata visa?! Ondoa shaka..Ilboru Academic Excellence ipo kwa ajili yako...Tunafundisha masomo ya kidato cha kwanza hadi cha nne kwa miaka 2, 5 &6 kwa mwaka mmoja pekee....pia masomo ya ziada tuitions kwa masomo yote ya sekondari kidato cha1 hadi cha 6 inapatikana... Tupo mkoani Arusha KALOLENI jirani na shule ya msingi Makumbusho.
Wasiliana nasi kwa namba 0752815647, 0782720622, 0756599744, 0624034272
EDUCATION IS POWER
16/05/2019
Je?! Umewahi kuwaza namna bora ya kusafisha cheti chako bila kuathiri muda wako wa kazi?!
Je?! Mwajiri wako amekunyima ruhusa ya kujiendeleza kwa masomo ya sekondari?!
Ondoa shaka, suluhisho la changamoto zako limepatikana...ni ILBORU ACADEMIC EXCELLENCE ikiwa na walimu wazoefu na weledi katika ufundishaji wa masomo yote kuanzia kidato cha 1 had cha 6
1-4 miaka miwili
5&6 kwa mwaka mmoja
Karibu kwa elimu rasmi nje ya mfumo rasmi.
Tupo KALOLENI ARUSHA ndani ya shule ya msingi MAKUMBUSHO.
Wasiliana nasi kwa namba 0752815647, 0782720622, 0756599744 au 0716919775
ACADEMIC EXCELLENCE
05/05/2019
Mungu awaongoze katika mitihani yenu inayoanza kesho...na kwa hili mlilofanya kuwakumbuka watoto waliopo katika mazingira magumu likawe nuru ya macho na akili katika kupambanua maswali yatakayowakabili ndani ya chumba cha mtihani....Mungu awabariki na LA HERI KATIKA MITIHANI YENU