Ngateu Secondary School

Ngateu Secondary School

Share

To provide quality Education to rural children and deprived group of children and lead them in realizing their potential roles and significances!

23/12/2025

mwaka wa masomo 2026, Ngateu Sekondari inakutangazia nafasi za kujiunga kidato cha kwanza na kuhamia kidato cha pili, tatu na nne; bila kuwasahau wale wanaotaka kirudia mitihani ya kidato cha nne (PC).
Wahi sasa, nafasi ni chache.
Ada zetu ni nafuu na unaweza kulipa kwa awamu zaidi ya moja.
Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni Ngateu Sekondari.

Mawasiliano: 0755 574 139 (Mkuu wa Shule).
Karibu sana..

25/10/2025

Ngateu Sekondary inawakaribisha wazazi/walezi wenye watoto waliomaliza darasa la saba mwaka huu kuwa tuna nafasi za kujiunga kidato cha kwanza 2026, karibu sana ada zetu ni nafuu na uutaweza kulipa kwa awamu nne.
pia tunawakaribisha nafasi za kuhamia kidato cha pili, tatu na nne.
karibu sana Ngateu Sekondari.

06/12/2024
06/12/2024

We invite applications for Form One 2025, Application forms are available at school Ngateu.
We do also receive transfer in for form II, III & IV.
private candidates (PC's) and QT's are also invite to join our school.
You won't regret joining us; welcome now, welcome all for quality and affordable education.

01/10/2024

Uongozi wa Ngateu Sekondari unawatangazia nafasi za masomo ya Pre-form one wanafunzi waliomaliza darasa la saba.
Pia tunawakaribisha kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2025. Nafasi bado zipo na pia kwa wahamiaji kidato cha pili hadi cha nne 2025 mnakaribishwa sana.

23/01/2024

We're still inviting applications for form one to form four. We welcome all.
Thanks to those who already joined us.
You are in a safe Place, Ngateu Sec School - In pursuit for excellence

07/01/2024

Ngateu sec school wishes you the best in this new year 2024, and also welcome applications for form one to form four this year.
Welcome all

28/12/2023

Join Ngateu sec now for the academic year 2024. Form one to form four.
Wahi nafasi sasa.

22/12/2023

Karibu Ngateu Sekondari kwa mwaka wa masomo 2024 kwa kidato cha kwanza na wahamiaji wa kidato cha pili hadi cha nne.
Pia kwa wale wanaorudia mitihani ya kidato cha nne(PC) na wa maarifa (QT) mnakaribishwa kwani Ngateu sekondari pia ina usajili kwaajili ya huduma hii ya elimu.
Nyote mnakaribishwa.
Mawasiliano:
Mkuu wa shule: 0755574139
Msajili wa wanafunzi: 0620459219

22/12/2023

Karibu Ngateu Sekondari kwa mwaka wa masomo 2024 kwa kidato cha kwanza na wahamiaji wa kidato cha pili hadi cha nne
Nyote mnakaribishwa.
Mawasiliano:
Mkuu wa shule: 0755574139
Msajili wa wanafunzi: 0620459219

01/10/2023

Tunakaribisha wanafunzi kwaajili ya kidato cha kwanza 2024.
Fomu zinapatikana shuleni Ngateu Sekondari.
Tuna nafasi chache za kuhamia kwa kidato cha pili, tatu na nne mwaka 2024
Pia shule ni kituo kwa wanafunzi wa PC na QT
Karibu sana Ngateu Sekondari

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


P. O. Box 7283
Arusha