29/06/2025
https://youtu.be/MNsA8qS25C4?si=cUZxxhqJrMwA4waf
QUR'AN TAMU!ANGALIA USTADH MUHAMMED AKISOMA BAADHI YA AYA ZA SURATTIL FUR'QAAN HII NDIYO LADHA YA BAYATI
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Muhajirinakeko, Education, P. Ô. Box19845, Dar es Salaam.
Tunakupa Elimu ya msingi ya Uislamu ili uweze kujua Msingi wa dini yako,pamoja na kukupatia taarifa mbalimbali za kiislam na za Al madrasat Muhajirina keko machungwa.Karibu sana.
29/06/2025
https://youtu.be/MNsA8qS25C4?si=cUZxxhqJrMwA4waf
QUR'AN TAMU!ANGALIA USTADH MUHAMMED AKISOMA BAADHI YA AYA ZA SURATTIL FUR'QAAN HII NDIYO LADHA YA BAYATI
20/04/2025
Assalaam alaykum warahmatu Llahi Wabarakaatuh.Maisha ya binadamu yamejengwa kwa elimu.Allah subhanahu wataala alipomuumba baba yetu Adam alimpa elimu ndipo akamdhihirisha kwa Malaika.Mtume wetu Muhammad S.A.W kabla ya kupewa utume kwanza alisomesha nae akatuambia "KUTAFUTA ELIMU NI LAZIMA KWA MUISLAM MWANAMME NA MWANAMKE".Kwa hiyo hamna maisha wala Ibada bila ya Elimu.Ili kujifunza mengi katika masuala ya kielimu ungana nasi kwenye blog yetu kwa kubofya link hii".
https://muhajirinakekomachungwa.blogspot.com/2025/03/nia-ya-kuoga-ili-kuondoa-janabahedhi-na.html

27/03/2025
https://youtu.be/qRrQ99AO8xI?si=8S-aJZ1kBJFpARGs
ZAKATUL FITIR:ANAEPASWA KUTOA NA KIWANGO CHA KUTOA Ijue Zaka ya Fitir,kiwango cha kutoa,anayepaswa kutoa na kupoa
21/03/2025
ELIMU HII
NIA YA KUOGA ILI KUONDOA JANABA,HEDHI NA NIFASI Tumeona kuwa mwanamme anahusika na janaba tu lakini mwanamke anahusika na majosho ypute matatu,Janaba,Hedhi na Nifasi. NIA YA JANABA Naway...
19/03/2025
Yajue mambo yaliyo haramu kwa mwenye Janaba,Hedhi na Nifasi
bofya link hapo chini
MAMBO YALIYOHARAMU KWA MWENYE JANABA,HEDHI NA NIFASI Tumeelewa Janaba nini na hutokea katika mazingira yapi,lakin pia tumelewa Hedhi na Nifasi pamoja na mazingira yake. Sasa ni waka...
12/03/2025
https://youtu.be/NNZJn4RC8sg?si=65Nan_evJAwpBhfm
Tunakuomba usubscribe channeli yetu ili kuiongezea nguvu katika kufikisha Elimu kwa waislam
12/03/2025
https://youtu.be/c2LdStBW2yI?si=1W1toanroaF8JjtT
Pata ujuzi,Elimu na taarifa za Uislamu kupita kurasa zetu.
TAHADHARINI SANA SANA KULIFANYA HILI MCHANA WA RAMADHWANI Tahadhari na hili mchana wa Ramadhwani
12/03/2025
https://youtu.be/7YJgOQR5VDI?si=BivRrihOW23Pg-JX
Pata ujuzi,Elimu na taarifa za Uislamu kupitia youtube channel yetu
WAGONJWA WATUMIE FURSA YA RAMADHANI KUPONA MARADHI YAO Huu ndio mfungo wa kupona sio kukuza maradhi
12/03/2025
https://youtu.be/CUZzIisVNYQ?si=vd6WfJCWQpVPd6JN
Pata ujuzi,Elimu na taarifa za Uislamu kupitia youtube channel yetu
WAKATI WA KUOMBA DUA MIKONO IKAE WAPI? SEHEMU IPI SAHIHI YA KUWEKA MIKONO WAKATI WA DUA?
12/03/2025
https://muhajirinakekomachungwa.blogspot.com/2025/03/ijue-twahara.html
Pata Elumu na taarifa za Uislamu kupitia blog yetu
IJUE TWAHARA Twahara ni kitendo ambacho pindi kitakapokosekana haitoswihi swala. Twahara imegawanyika sehemu kuu 2. 1.Twahara kubwa 2.Twahara ndogo...