The Social Media academy

The Social Media academy

Share

You Have Digital Dreams. We Make Them Come True Through Our Different Digital Courses with the use of Swahili language.
#thesocialmediaacademy

Photos from The Social Media academy's post 15/05/2024

Wewe unajua kweli kutengeneza mamlaka?

Photos from The Social Media academy's post 27/02/2024

Haya maswali yatakuongoza katika utengenezaji wa content za huduma/bidhaa yako mtandaoni📌

Photos from The Social Media academy's post 07/02/2024

Darasa la Digital Influence like A Pro linalofanyika kwa mwaka mara moja tu liko tayari na linakujia hivi karibuni.

Je uko tayari?

Photos from The Social Media academy's post 30/01/2024

Mwezi huu wa pili uanze KIBABE SANA📌💪🏾

K**a hujui nini u-post kwenye page yako, hii ni KWAAJILI YAKO🫵🏾

Photos from The Social Media academy's post 15/01/2024

Ili kuongeza engament, hivi ni vitu muhimu vya kufanya baada ya kutuma post yako mpya mtandaoni.

Je tumekusaidia?

Photos from The Social Media academy's post 07/12/2023

Nani inamkuta hii muda huu?

Tafadhali, usiache kuuza ujuzi wako kwasababu hupati likes, au comments.

Siku ya kutoboa mtandaoni itakufikia k**a utani. Na wapo watu hawa-like au ku-comment kwenye kazi yako ila wanafatilia unachokifanya☺️

Usikate kamba njiani😊

Photos from The Social Media academy's post 22/11/2023

Vitu gani vitano vingine umewahi kuvifanya ulipoanza kutumia mitandao?

Photos from The Social Media academy's post 12/11/2023

Tuambie hapa chini, AI tool gani unaenda kuanza kutumia😎?

Photos from The Social Media academy's post 06/11/2023

Hivi ndivyo namna ambayo IDRIS SULTAN anaweza kujitofautisha kwenye mitandao ya kijamii.

Photos from The Social Media academy's post 30/10/2023

Hivi ndivyo ambavyo Ndg. Jokate Urban Mwegelo anajitengenezea strong personal brand kwa njia ya mtandao.

21/10/2023

Nani anakubaliana na sisi? 😂

Ujasiriamali ni mzuri sana ila UKISIMULIWA.

Photos from The Social Media academy's post 12/10/2023

Mtandaoni igiza k**a unaongea na watoto wadogo.

Andaa chakula, kisage, walishe, kazi yao wao ni kumeza tu sio KUFIKIRI.

Tunachomaanisha ni maudhui yako, hakikisha yanaelezea umuhimu wa bidhaa zako. Usifikirie watu wanajua, HAWAJUI.

Elezea kila inapobidi namna mbalimbali wanaweza faidika na huduma yako. Usiwafanya wafikiri.

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Mikocheni
Dar Es Salaam
1012