ST. Marry's Training College

ST. Marry's Training College

Share

Karibu St . Marry's training college kwa Elimu Bora na malezi bora

18/06/2023

Uongozi wa chuo cha St. Mary's Training college kilichopo BUGURUNI - SHELI unapenda kuwatangazia muhula mpya wa masomo ambao utaanza tarehe 03.07.2023 katika kozi zifuatazo
*✓Full hotel management
*✓ Full secretarial course
* ✓Nursery teaching ( English medium)
*✓ Tourism & Tour guide
Front office and Office operation
* ✓Information and communication technology(IT).
* ✓Mapambo na Urembo.
Course hizi ni mwaka mmoja. Miezi tisa darasani na miezi mitatu field.
Pia chuo chetu kinatoa huduma ya
* ¶ENGLISH COURSE
* ¶COMPUTER COURSE
* ¶PC & QT.
St. Mary's tunakuhaidi kukutafutia field pamoja na ajira Mara utakapohitimu kozi mojawapo.
Ada zetu ni nafuu...Wanaotoka mkoani HOSTEL zinapatikana.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo.
0673316931/0752256025

WOTE MNAKARIBISHWA

03/07/2022

Uongozi wa chuo bora tanzania St Marry's training college kilichopo buguruni sheli. Unapenda kukutangizia kozi zifuatazo .....
*UALIMU WA CHEKECHEA (ENGLISH MEDIUM ) *FULL HOTEL MANAGEMENT / *FULL SECRETARIAL COURSE *ENGLISH COURSE/ COMPUTER COURSE
*PC & QT St Marry's tumetoa punguzo la ada kutoka laki 8 kwa mwaka hadi laki sita na nusu. .Wahi kuchukua fomu mapema. .St Marry's tunakuaidi kukutafutia ajira wewe mwanafunzi utakayesoma course moja wapo K**a ambavo imekuwa utamaduni wetu.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0673316931
0752256025

26/06/2022

0624003011

26/06/2022
26/06/2022

Uongozi wa chuo bora tanzania St marry's trading college kiliyopo buguruni sheli. Unapenda nakutangizia kozi zfwatazo *UALIMU WA CHEKECHEA (ENGLISH MEDIUM ) *FULL HOTEL MANAGEMENT / *FULL SECRETARY COURSE *ENGLISH COURSE/ COMPUTER COURSE St mary's tumetoa punguzo la ada kutoka laki 8 kwa mwaka hadi laki sita na nusu. .Wahi kuchukua fomu mapema. .St marry's tunakuaidi kukutafutia ajira wewe mwanafunzi utakayesoma course moja wapo K**a ambavo imekuwa utamaduni wetu.
Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0673316931
0624003011

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam