Umoja learning center

Umoja learning center

Share

Hiki ni kituo kinacholea watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 6. Humpatia mtoto malezi bora katika ukua

Photos from Umoja learning center's post 25/09/2021

Michezo ni sehemu ya kukuza vipaji na kutupa furaha zaidi

17/08/2021
17/08/2021

🔰Tunakukaribisha mzazi/mlezi...
Mlete mwanao kwa elimu bora ajifunze na kupata umahiri wa kusoma, kuandika, kuhesabu pia atajifunza kusoma, kuandika na kuongea English kwa maandalizi ya kujiunga na elimu yake ya msingi👫

17/05/2021

umoja learning center inawakaribisha watoto kuanzia umri wa mwaka 1 hadi 6

mlete mwanao kwa elimu bora

27/04/2021

tunakukaribisha wewe mzazi/mlezi
mlete mtoto apate ukuaji bora wa kiafya na kiakili
wa kusoma na kuandika
mwanga “B”
Cont:0686 061 829

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam