15/12/2023
Mambo ya kuzingatia unaponunua Ardhi isiyopimwa
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Winfredy Mfilinge, Education, Mbezi Beach Shaurimadai Street near Stanford House, Dar es Salaam.
15/12/2023
Mambo ya kuzingatia unaponunua Ardhi isiyopimwa
11/03/2023
Kupatana pande zote mbili za mgogoro wa ardhi ni muhimu sana kabla ya kwenda mahak**ani. Kupatana huku kunaweza kufanywa na pande zenyewe mbili au kwa kumwita msuluhishi wanayemwamini.
08/03/2023
Heri ya siku ya wanawake duniani.
26/02/2023
Bila shaka umekuwa na jumapili njema.
24/02/2023
MAJOR CITIES IN AFRICA
According to the ranking report of Knight Frank 2021/2022. Dar es Salaam was ranked the 4th without a view of Tanzanite Bridge.
23/02/2023
Shughuli zote za kiuchumi zinazolenga kujipatia kipato na mali zina uhusiano fulani na ardhi.
22/02/2023
Mvamizi akivamia eneo lako, ni muhimu kuchukua hatua za kisheria mapema sana. Nasisitiza NI HATUA ZA KISHERIA DHIDI YA MVAMIZI k**a vile kutafuta haki mahak**ani.
20/02/2023
Mount Kilimanjaro
TANZANIA
Happy Sunday
14/02/2023
Happy Valentine to everyone.
12/02/2023
Aina ya majirani wanaomzunguka mmiliki wa ardhi husika ni muhimu sana kwa sababu majirani wanaweza kuamua hatima ya maisha ya baadaye ya mmiliki. Kupitia kisa hiki katika Biblia, Nabothi alipoteza maisha yake Kwa sababu ya aina ya jirani aliyekuwa naye karibu na shamba lake la mizabibu.
Jirani yake Mfalme Ahabu alilipenda eneo la Nabothi na akataka amwachie eneo lile na yeye ampe shamba lingine au amlipe fedha. Na sababu yake kubwa ilikuwa ni kwa sababu shamba la Nabothi liko jirani na nyumba yake ya kifalme. Na Ahabu alitaka ambadilishie eneo lingine au alinunue kwa fedha yoyote ambayo Nabothi angetaja ili mradi yeye alipate shamba. Lakini Nabothi alikataa kumpa Ahabu shamba kwa sababu lile shamba lilikuwa ni urithi wa baba zake. Kilichofuata, endelea kusoma 1Wafalme 21: 5-27.
09/02/2023
USIMAMIZI MZURI WA JENGO/ MILKI KUU
Ni ile timu ya usimamizi inayohakikisha;
1. Hakuna au Kuna kiwango kidogo sana cha nafasi ambazo hazijajazwa na wapangaji (Chini ya 5%)
2. Wapangaji wana furaha na wameridhika.