The Kilimanjaro Institute of Technology and Management

The Kilimanjaro Institute of Technology and Management

Share

Kitm is Private College With Full Accreditation

15/04/2026
15/04/2026

kiwa ni muendelezo wa ushirikiano kati ya Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) na kampuni ya THE BEST kutoka China, Mkuu wa Chuo amepokea wageni wengine kutoka China kwa lengo la kuendelea kujenga na kuimarisha mahusiano yaliyopo.

Ushirikiano huu unalenga kuongeza ubadilishanaji wa maarifa, kuimarisha mafunzo kwa vitendo na kufungua fursa zaidi za kimataifa kwa wanafunzi wa KITM.

πŸŽ“ KITM Tunapanua mipaka ya elimu kupitia ushirikiano wa kimataifa.

ElimuKwaVitendo

11/04/2026

πŸ“’πŸŽ“ TAARIFA RASMI – MARCH INTAKE 2026

Uongozi wa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) kupitia Principal na wakuu wa idara zote unawatangazia rasmi kufunguliwa kwa chuo kwa March Intake tarehe 13 April 2026.

Tunawakaribisha kwa furaha wanafunzi wote wapya kujiunga nasi kwa ajili ya kupata elimu bora, ya kisasa na inayozingatia mafunzo kwa vitendo.

πŸ“š Karibu KITM mahali sahihi pa kujenga mustakabali wako wa mafanikio.

πŸ“ž Contact us today for admission details.
πŸ“ Visit: www.kitm.ac.tz | πŸ“² Call/WhatsApp: 0717816034

CONTACT US:
β€Ž0717816034 / 0766348652 / 0754864361 / 0745561090
Cc:

31/03/2026

Mkuu wa chuo, Mr. Ahmed Mbezi, anawatakia wanafunzi, wafanyakazi na wadau wote wa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) Pasaka Njema yenye furaha, amani na baraka tele.

Sambamba na salamu hizi za sikukuu, tunakukaribisha kujiunga na kozi zetu pendwa kwa intake ya tarehe 13 April, 2026. Hii ni fursa yako ya kuanza safari ya mafanikio kupitia elimu ya vitendo na ubora wa hali ya juu.

πŸ“Œ Jiunge nasi sasa nafasi zipo wazi.

πŸŽ“ KITM Elimu Bora kwa Maisha Bora.

πŸ“ž Contact us today for admission details.
πŸ“ Visit: www.kitm.ac.tz | πŸ“² Call/WhatsApp: 0717816034

CONTACT US:
β€Ž0717816034 / 0766348652 / 0754864361 / 0745561090
Cc:

Photos from The Kilimanjaro Institute of Technology and Management's post 24/03/2026

Wanafunzi wa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) wakiendelea na mitihani ya vitendo (Practical Lab Exams) katika somo la Network Configuration ikiwa ni sehemu ya mitihani ya kufunga semester.

Kupitia mafunzo haya ya vitendo, wanafunzi wanapata ujuzi halisi wa kusanidi mitandao na kutatua changamoto za kiufundi, tayari kwa mazingira ya kazi.

πŸŽ“ KITM Elimu kwa Vitendo, Ujuzi kwa Mafanikio.

20/03/2026

πŸŒ™βœ¨ Eid Mubarak from KITM

Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) wishes all our students, staff, and the entire community a joyful and blessed Eid Mubarak.

May this special day bring you peace, happiness, and countless blessings. 🀲

19/03/2026

Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) inawatakia wanafunzi, wafanyakazi na wadau wote Eid Mubarak na Pasaka Njema β€” zenye furaha, amani na baraka tele.

Katika kusherehekea sikukuu hizi, tunakukaribisha kujiunga na kozi zetu pendwa kwa intake ya tarehe 13 April, 2026. Hii ni fursa yako ya kuanza safari ya mafanikio kupitia elimu ya vitendo na ubora wa hali ya juu.

πŸ“Œ Jiunge nasi sasa na jenga mustakabali wako.

πŸŽ“ KITM Elimu Bora kwa Maisha Bora.

πŸ“ž Contact us today for admission details.
πŸ“ Visit: www.kitm.ac.tz | πŸ“² Call/WhatsApp: 0717816034

CONTACT US:
β€Ž0717816034 / 0766348652 / 0754864361 / 0745561090
Cc:

Photos from The Kilimanjaro Institute of Technology and Management's post 12/03/2026

Wanafunzi wa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) wakiwa katika maandalizi ya mitihani ya kufunga semester itakayoanza rasmi wiki ijayo kuanzia Jumatatu, 16 Machi 2026.

Tunawatakia wanafunzi wote maandalizi mema, utulivu wa akili na mafanikio katika mitihani yao. Endeleeni kuzingatia nidhamu ya masomo na kujiamini katika kile mlichojifunza.

πŸŽ“ KITM Tunawaandaa kwa mafanikio.

πŸ“ž Contact us today for admission details.
πŸ“ Visit: www.kitm.ac.tz | πŸ“² Call/WhatsApp: 0717816034

CONTACT US:
β€Ž0717816034 / 0766348652 / 0754864361 / 0745561090
Cc:

Photos from The Kilimanjaro Institute of Technology and Management's post 10/03/2026

Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi KISO pamoja na Class Representatives (CRs) hapa Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) wamepata mafunzo maalum ya uongozi kupitia semina iliyofanyika hapa chuoni.

Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo katika uongozi bora, mawasiliano, uwajibikaji na usimamizi wa majukumu yao, ili waweze kuwahudumia wanafunzi wenzao kwa ufanisi zaidi.

KITM tunaamini katika kujenga viongozi bora wa kesho kupitia elimu na mafunzo ya vitendo.

πŸ“ž Contact us today for admission details.
πŸ“ Visit: www.kitm.ac.tz | πŸ“² Call/WhatsApp: 0717816034

CONTACT US:
β€Ž0717816034 / 0766348652 / 0754864361 / 0745561090
Cc:

08/03/2026

n this International Women’s Day, Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) celebrates the strength, resilience, and achievements of women everywhere.

We believe that education is a powerful tool for empowering women, enabling them to lead, innovate, and make a meaningful impact in society.

Today we honor and appreciate all the incredible women who continue to inspire change and build a brighter future.

πŸ’ Happy International Women’s Day to all women around the world!

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 01:00