08/02/2022
Ukakamavu ni sehemu ya maisha yetu,karibuni sana
We are here to serve God's children
08/02/2022
Ukakamavu ni sehemu ya maisha yetu,karibuni sana
Tunaendelea kupokea watoto wanaojiunga na kuhamia kuanzia chekechea hadi darasa la saba 2022
16/11/2021
Karibuni sana,nafasi zipo chekechea hadi darasa la saba 2022
28/10/2021
22/10/2021
Tunaendelea kuimarisha usafiri ili kukufikia hapo ulipo ndani ya jiji hili la Dar es salaam.
Tunaendelea kupokea wanafunzi kuanzia chekechea hadi darasa la sita,mwakani darasa la saba2022
05/09/2021
Karibuni KiAPPS,ni shule ya kutwa kwa wasichana na wavulana,nafasi zipo kuanzia chekechea hadi darasa la sita.waalimu wazuri na wazoefu katika elimu wapi.mlete mwanao.ADA ZETU NI NAFUU SANAAAA
Tupo Kinyerezi mwisho ndani ya viwanja vya kanisa la waadventista wa Sabato.
Kaa karibu nasi kwa matukio na mawasiliano zaidi.
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Sunday | 01:00 - 17:00 |