10/05/2022
Tulianza wenyewe kuzoa takataka na kuleta ndani.... Tukasherehekea style zilizopendeza huko nje.... Zimeanza kunuka tunalalamika eti watengeneza taka wanatudharau...
Wametuona jalala wakaja kutuongezea....
TUSILALAMIKE BALI TUFAGIE NYUMBA YETU KWANZA, WAKIIONA SAFI HAWATALETA TAKA NDANI.
WATAANZIA WAPI????
Tulianza kusifia mashairi yao madhabahuni bila aibu,,,,, tukaona haitoshi tukatetema na kunyunyiza.... Wakaona kumbe inawezekana tu.
Tujinyooshee vidole wenyewe kabla hatujawanyooshea wao tujitafakari.
22/10/2021
03/10/2021
25/08/2021
20/08/2021
19/08/2021
17/06/2021
17/06/2021
16/06/2021
16/06/2021