26/05/2026
Paradigms Schools
PARADIGMS SCHOOLS NI SHULE ZA PRIVATE
-PARADIGMS PRIMARY SCHOOL
-PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY SCHOOL
PARADIGMS SCHOOLS NI PRIVATE SCHOOLS ZENYE SHULE YA PARADIGMS NURSERY & PRIMARY SCHOOL NA PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY AND HIGH SCHOOL
PARADIGMS NURSERY & PRIMARY SCHOOL
KUNA NAFASI CHACHE ZA KUJIUNGA DARASA LA KWANZA MPAKA LA TATU NA DARASA LA TANO NA LA SITA
PARADIGMS ISLAMIC SECONDARY AND HIGH SCHOOL
KUNA NAFASI CHACHE ZA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA NA KIDATO CHA MBILI
TUNA TAHASUSI ZA PCB, PCM,PGM,CBG, EGM,HGL,HKL,HGE NA ECA
26/05/2026
07/05/2026
Matukio katika picha Paradigms Schools elimu ya awali na msingi katika mafunzo mbalimbali maeneo ya madarasa ya paradigms schools.
Mafunzo kwa vitendo ni miongoni mwa nguzo zetu kuu za kufundishia...
Karibu sana paradigms schools.
07/05/2026
🌟 Kila siku ni nafasi mpya ya kucheza, kujifunza na kugundua vipaji! Paradigms Schools tunahakikisha watoto wetu wa chekechea wanakua katika mazingira yenye furaha na malezi bora. 🏫💡
👉 Mlete mtoto wako Paradigms Schools na mpe mwanzo wenye maana kwa safari yake ya kielimu.
25/04/2026
Mashindano ya kusoma Quruan Tukufu paradigms Islamic secondary school. yaliyofanyika tarehe 24/04/2026, katika ukumbi wa paradigms. Ikiwa ni katika kuwaandaa watoto katika mashindano ya kitaifa na ki dunia pamoja na kuhakikisha tunawalea watoto katika misingi ya kidini na maadili mema , matukio katika picha.
Mlete mwanao apate elimu bora na malezi yampasayo katika kujifunza.
23/04/2026
Matukio katika picha kwenye mechi ya kirafiki kati ya paradigms Islamic secondary school na Veta Paradigms Institute Dar es salaam iliyochezwa viwanja vya paradigms Bonyokwa kimara, Ubungo, Dar es salaam.
22/04/2026
Matukio katika picha Paradigms Schools kwenye mashindano ya umitashumita, mwenyeji wa mashindano haya ni Paradigms Schools, na michezo yote imechezwa katika viwanja vya Paradigms. Endelea kutufatilia kwa taarifa zaidi...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Website
Address
KIMARA BONYOKWA
Dar Es Salaam